Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Tafadhari wana JF, kwa yeyote mwenye display ya laptop hiyo tuongee biashara, kwani kuna laptop inakufa screen yake.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Plz kama kuna anaefahamu chochote naomba anijulishe! Asanten sana.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
1. Mimi ni Mtanzania, nimekuwa nikiisikia Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Je, naweza kufahamishwa majukumu ya Sekretarieti ya Ajira kwa ujumla ni yapi?JIBU Sekretarieti ya Ajira...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Waliofanya oral interview pale erolink kwa ajir ya vodacom customer care vp wameita kuanza training?
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Naomba kujuzwa kwa wale waliofanya interview written na oral pale erolink kwa ajil ya customer care voda, vp wameshaita watu kuanza training?
0 Reactions
8 Replies
4K Views
kwa wale graduate wa Bcom, Economics, Marketing and Communication tembeleeni TAYOA/ www.vijanatz.com/tz/jobs dedline ni leo
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wanajanvi kuna kitu hapa kwenye mkataba wangu wa kazi nahisi hakipo sawa. Naomba ufafanuzi kwenye mkataba wangu wameandika basic salary yangu ni kiasi flani(say laki 5) lakini kiasi ninachopata in...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Salamu zenu Wadau naomba kujua kwa wale ambao tulifanya Interviews Written na oral kwa post mbalimbali za shirika la TANAPA ambazo zilifanyika centers tofauti Dar mwezi August, jee waliofanikiwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Saluti wadau wa JF! Naomba msaada mimi na jamaa yangu tumepata nafasi ya ututorial assistant na Laboratory technician ila kwa sasa tuna kazi sehemu hivyo tunataka kujua maslahi yakoje ili tuamue...
1 Reactions
13 Replies
6K Views
Habari zenu wote? Nilifanya application Access Bank na nimeitwa kwenye interview itakayo fanyika Mwanza next wekend. Naomba msaada tafadhali kama kuna mtu anajua vitu vya msingi wanavyopendelea...
1 Reactions
32 Replies
6K Views
Wana JF, natafuta kazi za Freelance Graphic designer, ninauzoefu mkali sana, na kufanya kazi faster, nina I Mac, iko fresh, tunatumiana kazi na maelezo mi nafanya faster na kuemail back, mwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mimi ni kijana ninayependa kujishughulisha, natafuta kazi yoyote ili niweze kujisogeza. nina elimu ya kidato cha nne, na kwasasa nipo collage. ningependa kufanya kazi yoyote ntakayopata mda ambao...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ninaweza kufundisha A-LEVEL na O-LEVEL vizuri kabisa,[elimu yangu ni degree moja]niko DAR!! napatikana hapa 0758 470 876
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SENIOR LEVEL VACANCIES The Secretary-General is pleased to announce the following job opening: Deputy High Commissioner, Office of the High Commissioner for Human Rights The Office...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
habari za shughuli wadau,naomba kujua kama ajira za tar.25 mei zitaitwa kada nyingine kwa ajili ya usaili au walioitwa awali wanatosha!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa wale waliofanya interview trh 29/8/2012, walishapata taarifa zozote kuhusu kuitwa kazini?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapendwa wapiganaji wa vita hii ya AJIRA...Wakati unangojea/unahangaikia ajira njoo ukaongeze uelewa zaidi: Nafundisha: i) Tally Accounts ii) Quick Book Accounts iii) Sage line & 50 & ERP...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama tumefikia Hatua Hii nadhani tumevuka mpaka. Nadhani Kuwa ipo siku mtu atatakiwa kutakiwa kupeleka vyeti vya D.N.A kwenye interview. this is invasion of Privacy.Assistant Researcher Job in...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
PROGRAMME FINANCE ASSOCIATE United Nations Development Programme (UNDP) Tanzania invites applications from qualified Tanzanians for the position of Programme Finance Associate. The...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
....Mdogo wangu[wa kike],amemaliza form four,amesoma short course ya computer,anatafuta kazi ya stationary.Kama kuna mtu anastationary au anamfaham mtu anaehitaji mfanyakazi wa aina hii tafadhali...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom