Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Jamani naomba mnisaidie kwa mtu anyejua mishahara ya hii kampuni inayozalisha pepsi, haswa legal office, hr manager na senior security officer. Ahsanteni wana jf
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kama tumefikia Hatua Hii nadhani tumevuka mpaka. Nadhani Kuwa ipo siku mtu atatakiwa kutakiwa kupeleka vyeti vya D.N.A kwenye interview. this is invasion of Privacy. Assistant Researcher Job in...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
habari wanajavini kuna kampuni ya ukandarasi wa umeme,majengo yenye ofisi zake Dar-es-salaam lakini inafanya kazi kila mkoa inatemeana na kazi ilipo patikana inahitaji Accountant mwenye vigezo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi ni raia wa Tanzania nina umri wa miaka 24 nimemaliza chuo mwaka uu katika chuo cha elimu ya biashara (cbe) kiwango cha elimu diploma ya ict natafuta kazi ya yoyote ya it kama kuna mtu ana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau kazi za TANAPA vipi?, maana kuna walioitwa kwenye Interview Mwezi wa Nane, sasa kuna post nyingine tena walitangaza, kibao, na sasa zinaonyesha Closed Vaccancies kwenye website yao, Vipi...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wana jf mi ni kijana wa kitanzania natafuta kazi kama vile: kuuza kwenye maduka ya jumla, hardware, supermarket na statiory. Sifa zangu: 1. Nina umri wa miaka 25 2. Nimehitimu kidato cha6...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya ripoti kutolewa kuhusiana na mauaji ya mwandishi Mwangosi yaliyofanywa na Jeshi la Polisi huko Iringa Watanzania tumejifunza nini ? Pamoja na hayo kwakuwa Mwangosi alikuwa mwandishi wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF leo nimepigiwa simu kuhudhuria semina Holiday inn ijumaa. waliwah kutoa kazi zamani sana nikawatumia CV tu. sikumbuki hata wana dili na vitu gani hawa jamaa. tafadhali kama kuna mtu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
PWC wamenipigia simu wakiniarifu kuhudhuria graduate recruitment itakayofanyika siku ya ijumaa saa 8.00 mchana holliday inn hotel.Wana jf mwenye dondoo zozote za hawa PWC azianike.
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Wana JF naomba msaada wenu,hivi kwenye usaili wa kazi ukiulizwa "unataka tukulipe mshahara kiasi gani?". kwa hapo jibu zuri ni lipi?, labda kutaja mshahara wa juu sana au inakuwaje ili ufaulu...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
hellw waungwana ,samahan ninaomba kufahamishwa kuhusu hili swala.mimi nikijana nliyemaliza certificate in law chuo cha mzumbe nlitegemea kuendlea nadiploma lakn ikashndikana kutokana nakukosa...
0 Reactions
0 Replies
946 Views
natafuta kaz yeyote inayoendana na field yangu nina degree ya sociology. kwa yeyote mwenye kujua wap naeza pata pa kujshkiza hasa mikoa ya kaskazin anijulishe tafadhali
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau naomba mwenye update yeyote kuhusu nafasi zilizotangazwa july na bot kama washaita raia.asnteni wakuu
0 Reactions
5 Replies
3K Views
ARUSHA!! ARUSHA! ARUSHA! Are you a woman who's hungry for SUCCESS? who's tired of leaving paycheck to paycheck? LOOKING for something Extra to generate Multiple Streams of Income? Then...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
jamani wanajavini naomba kujua ni mfuko gani kati ya hiyo ni mzuri mwenye uzoefu katika hili please
1 Reactions
18 Replies
7K Views
habari,natafuta kijana wa kufanya kazi ya dukani,awe mkazi wa mbezi au kimara,umri kati ya miaka 18 hadi 22,nipm tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
kwa heshma wanasalimu wote wana jf update zilizonifikia hapa punde soon watu wataitwa kwa interview ila applicants ni wengi sana . kwa hali ilivyo bora watu tufikiria outsides ths box for rilly...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Vipi jamani waliofanya writen interview ya customer service erolink ya NBC wameitwa tena kwa oral???????
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Anahitajika ASSISTANT RESEACHER mwenye sifa zifuatazo : 1. Awe wa jinsia ya KIKE mwenye umri wa miaka 20 hadi 45. 2. Elimu Ya Kidato Cha Sita na kuendelea. 3...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Mambo vipi wadau, ee bana kwa yeyote mwenye information kuhusu Interview ya kazi za NEMC kama imefanyika au bado. "Mguu wa bandia hauoti vinyweleo"
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Back
Top Bottom