Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Kwa upeo wangu mdogo, nadhani kwa kuwa serikali ilifikiri kwa kina au ilikopi na kupest mfumo huu toka nchi nyingine na kujaribu ufanyia kazi utakuwa sio mfumo sahihi, huwezi ita watu 140 kwa post...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habari waungwana, ninatafuta kazi nina certificate in law ..samahan ninaomba wenye kuweza kunisaidia kupata ajira plz wanisaidie .NINASHUKURU SANA
0 Reactions
0 Replies
905 Views
mimi ni kijana wa kiume by name Tutajuzana, nimemaliza elimu yangu ya chuo kikuu katika idara ya mipango na maendeleo (planning and development) kwa yeyote ambaye atanisaidia kwa hili please do...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwenu wanajamvi, Natafuta kazi yeyote inayohusiana na IT iwe kudesign au kufundisha yote sawa, nipo dar, naombeni msaada wenu. Elimu yangu ni ngazi ya Diploma. Nawasilisha
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi wanajf, mie ni kati ya waajiri ambaye 2 weeks ago hivi nilitangaza kazi zoom, na ninavyojua pia humu zinakuwa posted too.yaani nimeamua tu kuwasaidia wadogo zangu au watz wenzangu kuhusu suala...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari wana Jf... Waungwana kwa aliyefanya au anayejua matokeo ya interview ya IT Officer Crdb tar 13 sept,anijuze tafadhali...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau ni mwezi wa tatu huu hatujapokea mshahara sisi wafanyakazi wa UDSM na DUCE, tunaongea na uongozi wa Chuo wanashindwa kutupa jibu Sahihi. Mishahara yetu imeenda wapi? Mtu yeyote anayejua...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wadau sory kama kuna yoyote mwenye taarifa kama nhif walishaita watu kwa oral interview baada ya writen.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nimeitwa kwenye usaili na hawa jamaa,ingawa nimeperuz kwenye website yao,ila naomba mwenye kuijua kwa undan aniambie hapa,hata na scale zao zikoje kwa graduate,as long as hili ni shirika la KIMATAIFA
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nashangaa sn ninapomuona mtu kamaliza chuo halaf anajua atapata ajira hatafut wala nn wkt watu wanakaa hd miaka mitatu bila kupata kazi lakin huyo mtu anakuwa na iman kuwa ataitwa tu cku moja...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za leo wana JF,Naulìza kama muajiriwa wa halmashauri amejiendeleza katika fani ambayo ni tofauti na aliyo ajiriwa nayo. lakini hiyo fani mpya haina idara katika halmashauri husika.je...
0 Reactions
0 Replies
987 Views
Kwanza nawashukuru sana member wote wa JF kwani nimekuwa nikijifunza mambo mengi sana kupitia huu mtandao.mi nipo mwaka wa mwisho nategemea kumaliza mwezi wa 7,je nikimaliza naweza kupata kazi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Shenzhen Airlines A320/B737 Screening Schedul in Oct. - Dec. October: 8th - 16th. Apply before: Sep. 20th. 22nd - 29th. Apply before: Oct. 11th. November: 5th - 13th. Apply...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Supplies Officer Driver Secretary Senior Planning Officer Senior Business Analyst Air Transport Regulation Officer Detail zaidi tafuta Mtanzania ya tarehe 4/10/2012
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau nimemaliza IFM hapo Bachelor of Science in Taxation 2011. Natafuta kazi. I would fit well in Auditing firm, Accounting firm just to cite few. Kama kuna mtu anaweza nisaidia kwa namna yoyote...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nikiwa Kama Kijana Ninayejiandaa Na Maisha Ktk Ujasiriamali,Mtaji Wangu Ni Laki Mbili. Kwa Pesa Hzo Niko Njia Panda,Kipi Chenye Soko Kubwa Kati Ya: -Ninafikiria Kununua Digital Kamera Ili Niwe...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mimi ni mwanafunzi nasoma Public Adminstration moja ya vyuo vikuu hapa dar, ndo naingia mwaka wa 3 namalza chuo mwakan mwezi wa sita. Ninataka nianze kuomba kazi yoyote ile itakayo tangazwa kabla...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau kama mshapata taarifa yoyote tujuzane mana sisi wa mkoa tukizid kukaa hapa mjini tutakosa nauli so plz kwa mwenye taarifa.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Requirements: Candidates must have a minimum of a University degree in human resources management, Public or Business Administration or management or related disciplines. An advanced University...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Responsibilities Under the supervision of the Chief Building Management and Transport Unit the incumbent will be responsible for the following: 1. Supervision of Logistics Assistant...
2 Reactions
0 Replies
5K Views
Back
Top Bottom