One of the easiest ways to build confidence before a job interview is to prepare answers to questions you might be asked. Whether you're applying for a position as a web programmer, accountant, or...
Wadau wa elimu, kwa wakazi wa Mbeya na mikoa mingine hasa mbali na mbeya, jijini. ITENDE SEC. SCHOOL
Ni shule ya wasichana na wavulana
Ni ya kutwa na hosteli ndani ya shule
Imeanzishwa tangu...
wenye kujua e-mail za recruitment za mashirika haya ya mifuko ya jamii kama PSPF, LAPF, NSSF,PPF, GEPF, nitupie huko CV tu maana kila wapotangaza kazi naomba hata kubp hawabp na vigezo wanavyotaka...
habari wakuu mimi ni mtanzania mwenye shahada ya jinsia na maendeleo ninatafuta nafasi ya kufundisha katika vyuo vya training yaani vyuo vidogo ninauwezo wa kufundisha development studies, gender...
I am a qualified English teacher, ambaye ameamua kubadilisha career due to personal (na kwa personal I mean lifestyle) habits and the lackluster that has become my life.
Nitakuwa Dar toka next...
Kutokana na uhaba wa ajira uliopo sasa hivi nchini, vijana tunaotafuta ajira tunatakiwa kuwa makini na taasisi za nje zinazotoa matangazo ya kuwepo nafasi za kazi kwa niaba ya makampuni yanayotaka...
Hi Everyone,
BNY technologies is an IT solution provider registered in Tanzania. For more information about the company, please click here. We are currently looking for an energetic and dynamic...
Wandugu, jaribuni tena bahati hizi kwa wale wenye elimu zao. Kila la heri.
PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS
kwa wanaoweza kupapasa hebu watazame hii:
1
THE UNITED REPUBLIC OF...
Kay dee investment
po box 45097
temeke
dar es salaam
wanahitajika wasichana watatu wenye umri usiozidi miaka 25 kwa ajili ya kutoa huduma ya mpesa na tigo pesa.
Sifa;
1.awe msichana.
2.awe ana...
Habari wanaJamii,
Naombeni ushauri wenu kuhusu hawa ZOOM Tanzania ,leo katika pita pita zangu kwenye mtandao wa google,nikakuta CV yangu ambayo niliitumia kuomba kazi kati ya kazi ambazo hua...
Wewe ni kijana mwenye kupenda kujituma na uhuru wa kufanya kazi?
Teachers junction.
Organization inayojihusisha na kuunganisha walimu na shule.
(teachers recruitment agency)
Inatangaza nafasi...
Job position: Mechanic engineer. Company name: Sun shine Group Ltd, Dar es salaam. A person working as a mechanic is a skilled craftsmen commissioned to provide expert services such as repairs...