Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Nasikia kutoka kwenye vyombo vya habari kwamba shilingi ya Tz inashuka thamani na hii inatokana na kutegemea vitu kununua kutoka nje ya nchi. Vikifika nchini vinauzwa bei ya juu sana kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wale waliokua wanasubiria second selection, bado nafasi 400 wanachuo waliofika ni 2600 wanatakiwa 3000 na kati ya hao 2600 kuna watu **** 17 wamefukuzwa kwa mapungufu madogomadogo kama mimba...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Kwa taarifa niliyoipata kutoka kwa chanzo cha kuaminika ni kwamba kuna kilaza na pimbi mmoja UDOM anauzia watu zile nafasi za kazi kwa wenye uhitaji kwa TZS 500,000/= mpaka sasa kashashika watu...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Samahan wana jf hv requirements za kufungua acc. Bacrays bank ni zp na min. amount ya kufungulia ni sh. Ngap?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Katika pitapita zangu za hapa na Pale nimekutana na tangazo WANAHITAJIKA watu WATANO wa designing wawe ni wataalamu wa kutumia ADOBE PHOTOSHOP hawa jamaa wanaitwa BOMEI Advertising Production...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimehitimu mafunzo ya Uhasibu ngazi ya stashahada katika Chuo cha Elimu ya Biashara Dodoma (CBE) 2012.Natafuta nafasi ya kakazi popote hasa mkoa wa Dodoma.Pia nina ujuzi wa matumizi ya compyuta na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Send your cv today: johnmajaliwa10@yahoo.com location;Bagamoyo-Pwani.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pilipili Print Design Solution Bugurun Y2K/ Magari ya Muhimbili Ni kampuni ambayo ina jihusisha na shughuli zote za kuprint aina mbalimbali. vipeperushi, bussnes card, mabango, tishet,kalender...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
masikin cku hiz na vidgree vyetu tunaishia kuwa waalimu , kwenye nafasi nyingine kama huna mjomba huko imekula kwako. Watakuambia jiajira wakati watoto wakimaliza chuo ni BOT, Tra, nhif. Pspf...
4 Reactions
27 Replies
6K Views
World Vision Tanzania is urgently recruiting Gender& Advocacy Manager to be based in Arusha. Purpose of the Position To implement and monitor Gender & Advocacy programming, Child protection and...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi nisaidieni maswali gani ya customer care yanayoulizwa nimejaribu kutafuta thro google wapi, mfano duties and responsibility za customer care ni zipi?! Au kuna sehemu naweza kupata info online?!
1 Reactions
3 Replies
6K Views
nimehitimu degree katika field ya ICT mwaka 2011, Baada ya kutuma application zisizopungua 80 pasipo mafanikio naomba kwa mwenye msaada kwani natafuta ofisi ambapo nitavolunteer kazi za ICT kwa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Project Management Specialist;Democratic Empowerment Project United Nations Development Programme (UNDP) Tanzania invites applications from qualified candidates to provide consultancy as...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Hi! Wanajamii, nadhani wapo walimu wanaotaka kuhamia mko wa ARUSHA. Walimu kutoka mkoa wa Kilimanjaro Tanga na Morogoro tuwasiliane 0755883313
0 Reactions
6 Replies
2K Views
A Dar based job opening at WWF. Kindly share it with potential candidates. all the best.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kiukweli hawa jamaa wa ero link wanajitahidi sana kutafutia watu kazi huko voda,ila jamani mshara ni mdooooogooo mbaya yaani ni mdogo kwa mtu mwenye degree yake!maendeleo yataletwa na sisi wenyewe...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
VACANCY ANNOUNCEMENT Human resource (One Position) Qualification & Functional Skills 1. College Degree or advance Diploma in Human Resource or behavioral Science 2. Knowledge...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
watoto wao wanawapa kazi mzuri sisi watoto wa kimasikini wanatuambia tujiajiri mataji wametupa.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari wakuu tarehe ya usaili kwa wale watu wa mikoa ya dsm,kilimanjaro, manyara, tanga extra imeshatangazwa ingia website ya utumishi then naomba mnitajie mkoa wa kilimanjaro tunafanya lini na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…