Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

SOURCE: Jobs | GVEP International GVEP INTERNATIONAL Purpose This following are fixed term contracts (with a possibility of extension) in line with GVEP International’s philosophy...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Mwenye ratiba please kwa tunaotumia kasimu ka mkononi.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Mwenye kampuni, au msaada wa wapi naweza pata kazi ani PM au kunipigia simu No. 0787 492883. Natanguliza shukurani zangu. January 1998 to December 2001 Supervisor of family...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeingia zoomtanzania.com nimeona post ya data entry clerk sasa kila nikiingia ilinichukue P.o.box au email na jina la kampuni inaniambie cm yangu aina uwezo.sasa naomba msaada wenu wadau@...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hallow kama una ndugu ama jamaa anayetaka kufanya kazi ya kusambaza vitabu kwa muda wa wiki moja kwa malipo mazuri mjulishe tuwasiliane kwa 0712 066 064 au 0753 12 54 74. Hakuna elimu yoyote...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina certificate kutoka ifakara health institute na ninauzoefu wa mwaka mmoja.conctact 0718293901 0765991817 ngajimalafocus21@gmail.com
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wana Jamii forum. Hawa jamaa wa advans bank wametangaza nafasi ya finance assistant na wamesema watu waaply online kupitia address ifuatayo http://recruit.advanstanzania.com ..sasa nauliza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hello wana JF mi ni mara yangu ya kwanza kupost my issue katika jamvi la JF. naomba kujua mwenye under capeti info' ya lini second selection ya graduate kwa post za police inaweza kuwa out, mi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada,hawa jamaa wa join africa wamenipigia simu kwenye sales executive kwa ajili ya usaili,labda kwa anaewafahamu vizuri anifahamishe kuhusu wao
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salam kwa nyinyi nyote wana jf. Jina langu naitwa Rwehumbiza. Nimemaliza chuo kikuu mwaka 2011 katika fani ya biashara nikijikita zaidi katika masuala ya ununuzi (materials management) na kufaulu...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Husika na title, natafuta mtu wa kupamba, nitakua na event alhamic na ijumaa, ni PM kama unajihusisha na hizo shughuli.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani kwa wale wenzangu walio apply KADCO vp walishaitaga au kuna mwenye info zoZote
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Baada ya kumaliza chuo toka mwaka 2011 nimekuwa nikituma application bila mafanikio zapata 80 hv..... Nina fani katika field ya ICT sasa natafuta mahali ambapo naweza kupata nafasi ya ku-volunteer...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna rafiki yangu ,ameitwa kwenye interview na equity bank kwa position ya operation officer, anaomba kwa yeyote anayejua mishahara ya equity bank kwa operation officer position
0 Reactions
9 Replies
8K Views
BAADA YA MAFANIKIO MAKUBWA YALIYOPATIKANA KATIKA MPANGO WA KAZI NJE NJE 2011, SHIRIKA LA KAZI DUNIANI KITENGO CHA UJASIRIAMALI (YOUTH ENTREPRENEURSHIP FACILITY) KWA KUSHIRIKIANA NA KITUO CHA...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Eneo la kutosha linauzwa,lipo MBEZI-LUIS,mkoa wa DAR ES SALAAM,WILAYA YA KINONDONI,KATA YA MBEZI.Tuwasiliane kwa 0713-507181 au email adres diccky4@ovi.com
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi nilifanya interview kadhaa kwenye makampuni mbalimbali na kila interview nilikua nawauliza kama wana utaratibu wa kutoa majibu kwa waliofanikiwa na wasiofanikiwa.Sasa kama nikijibiwa kuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
naomba kujua kama data entry ya nida kama wemeshaita watu mimi ni mmoja ya waliofanya interview
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Source:chanzo cha ndani jwtz-utawala(HQ-Upanga) Kwa mujibu wa chanzo husika hapo juu,napenda kuwafahamisha wale ndugu zangu wote ambao kwa muda...
2 Reactions
82 Replies
12K Views
Masaada!!!! tunaomba kupata abc za kariakoo markets corporation kuhusiana na hii corporation, vision, mission, and current issues ambazo zinaweza kuulizwa kwa interview
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…