Overview:
The Clinton Health Access Initiative is seeking a senior manager of malaria financing to oversee three streams of work. Thanks to significant global investment in recent years, a growing...
Enza Zaden Africa Ltd is a horticultural company that produces high quality hybrid seeds. The company is based in Nduruma, Arusha, Tanzania. It has 5 hectares of greenhouses and employs over 180...
Braeburn School
Arusha, Tanzania
An excellent employment opportunity is available at Braeburn School Arusha, a leading provider of top quality education in East Africa.
Administrator
Due to...
Habari wana jamvini naomba kujua level ya mishahara kwa VETA kwa Mhasibu anae anza kazi inakuwaje kwa wale walio fanya kazi kule au wanandugu wanao fanya kazi VETA shukurani ili niweze pima unga
mimi ni kijana ,nimemaliza elimu ya chuo kikuu department ya planning and development
nina ufaulu mzuri tu bat tangu nimalize chuo sijawahi kuitwa kwenye interview hata moja please HELP
JOB VACANCY
Pilipili Print Design Solutions situated few minutes from the Dar Es Salaam Metropolitan center, Pilipili Print Design Solutions aims to provide the highest standard of services and...
Naomba sana mwenye kujua website ya Tanzania International Petroleum Reserves Ltd (TIPER) anipatie kuna taarifa muhimu sana kwangu nahitaji kusoma kwenye hiyo website yao.Natanguliza shukrani za...
Requirements:
Candidates must have a minimum of an Advanced Certificate of Secondary Education and Diploma in Library and Information Studies or Information Sciences or related disciplines.
A...
Requirements:
Holder of a University Degree in Law and Registered Advocate of the High Court and subordinate court with at least three years (3) post qualifying experience in prosecution.
Apply...
Job Title: Branch Manager (3 Posts)
Requirements:
University Degree or equivalent in a Business Related field
Professional qualification will be an added advantage.
Minimum of 5 years...
Requirements:
Degree in accounting, CPA, 2-4 years experience in the field of internal auditing
Job Description:
Conducting Internal Control evaluation and risk assessment to identify...
Job position: Assistant Transport Officer
The Assistant Transport Officer takes care of all the details for transportation operations of the company.
Responsibility of Assistant Transport...
Kuna rafiki yangu yeye ni muajiriwa wa benki anataka kuwacha kazi afanye biashara ana pesa cash kama millioni 30 anaweza kufanya biashara gani ameniomba ushauri na mimi nimeamuwa kuleta jf wadau...
Wadau habarini za leo, naomba kuuliza kuhusu zile nafasi za udom,kuna mwenye tetezi zozote jamani atujuze hapa? vipi wameitwa watu au bado tuendelee kusubiri?
msaada wenu pls
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawatangazia waombaji wa fursa za ajira kuwa tarehe za usaili kwa mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha, Manyara, Pwani, Morogoro, Dar es...
UPS 2, zenye uwezo wa 1500va na 2200va zinauzwa, ni mpya kabisa.
Bei ni nafuu kabisa na nimaelewano.
Sababu za kuziuza ni zilitakiwa zitumike kwenye campuni mpya kwa bahati mbaya kampuni...
jaman wadau kama kuna mtu yeyote anakumbuka job descriptions za afisa mtendaji kwa hizi post za utumishi walizotoa majina juz....kila nkizitafuta ktk website ya utumishi sion kitu labda wamelitoa...
Anahitajika mtu mwenye ujuzi wa kutafsiri Kisomali kwenda Kiingereza.
Ni kazi inaweza kuchukua hadi miaka mitatu na malipo sio mabaya.
Kwa mfano, ukurasa mmoja wa maneno 450 ni TZs 32,400.
Anaye...