Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Kazi ndio hizo watanzaniaEast Africa Job Board::Free jobs for all in Kenya,Tanzania,Uganda,Rwanda and South Sudan: Project Director at CHF International,Tanzania East Africa Job Board::Free jobs...
1 Reactions
0 Replies
5K Views
wakuu jana nilisikia mtaani kwamba tpa wametoa nafasi za kazi. ikabidi leo niende pale utumishi kwenye ubao wao wa matangazo. nikatuta kweli nafasi zipo. nafasi zilizo tangazwa ni; Sailors...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Nimekuwa nikifundisha shule moja hapa mjini Arusha tangu 2006 nilipohitimu mafunzo ualimu Monduli. Mimi ni mwalimu wa Physics and Mathematics O'level. Nina diploma ya kufundisha masomo hayo...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
HABARI WA JF, HIVI MAJUZI NILIPOKEA EMAIL KUTOKA KWA WATU NISIOWAFAHAMU WAKIJIFANYA IMETOKA KWA KAMPUNI YA TATU KWA UKUBWA YA MAFUTA NCHINI NIGERIA, WAKINIITA KWENYE USAILI HUKO NIGERIA TAREHE...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wadau habar zenu naomba kujua hwa jamaa wanaitwa agha khan univesity mshiko wao umekaaje kwenye post ya assistant accountant,naombeni kujua wadau bt mnisaidie wadau msinshambulie sana aminia jf...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa wale wenye Fedha za Kigeni ambazo hazichenjiwi Bureau de Change nyingi ni Pm ama nicheck kwenye: 0714-074040 0767-074040
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu Naomba kujua maafisa uhamiaji graduates wanaanzia na mshahara kiasi gani na kozi zipi huwa zinatakiwa ili uwe na sifa za uafisa uhamiaji. Nawasilisha wakuu.
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Own your own business - Become distributor now - visit For one month Twiga Hosting Ltd the owner of wfrobot erp will be registering distributors of wfrobot erp. You will always earn...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CLOSED: We have found ONE: Thanks
0 Reactions
5 Replies
2K Views
HABARI YA JIONI WADAU NAOMBA KAMA KUNA MWENYE TAARIFA KWA WALE TULIOFANYA INTERVIEW PALE IFM KAMA kuna mdau yeyoye ama ndugu au rafiki amepigiwa simu kama amefaulu, msaada please
0 Reactions
1 Replies
1K Views
We are a registered IT company, which maily deals with computer sales(wholesale and Reatil), Web Technology (Web Designing, Web Registration Hosting, Web Hosting) Network Infrastructure/Fiber...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mambo vipi wakuu? Kuna bwana mdogo wangu aliitwa for written interview I-TECH, tumbo joto hajui kama amepita au la and he doesn't want to call their office. Kuna wadau wowote waliofanya wakaitwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
we deal in designing the cover photo of your business in a good quality at the affordable price with us we are taking you are business at the global level or visit our web page...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Ati waliofanya interview Barrick pale Ubungo plaza wameanza kuitwa?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau nakusalimieni!! Angalieni hizi kazi, Employment Announcement for Academic and Administrative Posts kama una sifa jaribu kuapply There is no harm in trying!! All the best
3 Reactions
9 Replies
14K Views
Nsagali Co Ltd. is a Tanzanian registered company and social enterprise. Generally Nsagali Co Ltd is a both an Authorized super dealer of Vodacom Tanzania Limited and Airtel Tanzania Limited. We...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
NAFASI ZA KAZI NSAGALI CO LTD .SLP 167 MWANZA-TANZANIA. Tunayo fursa ya kutangaza nafasi ya kazi, fursa hi ni kwa wale wote waliomaliza Darasa la Saba, Kidato cha nne, kidato cha sita, chuo kikuu...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
wadau week iliyoisha nhif walimaliza interview kwa wanaotafuta ajira pale kwa nafasi tofauti tofauti, je? walitangaza watatoa majibu lini? mana wengine tumezoea interview za majibu hapo hapo kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
URGENT JOB OPPORTUNITY: ASSOCIATE DIRECTOR SUPPORT SERVICES; World Vision Tanzania is urgently recruiting an Associate Director Support Services; this is a very senior position responsible in...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MAINTANANCE PLANNER Qualification: A trade qualifications Apply: nmhr@africanbarrickgold.com Details: The Guardian Aug 24, 2012 Deadline: September 07, 2012 RIGER Qualification: Competency...
1 Reactions
3 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…