Nimeitwa kwenye interv. Next wk na tume ya mionzi Arusha, plze naomba yeyote anayeifahamu vizuri anijuze, nini maana ya mshahara wa PRSS 1 na sh. Ngapi? Kuna maslahi gani mengine tofauti na...
habari wakuu vp wilaya ya ilala washabandika majina ya sensa maana nasikia tu kawe,ndugumbi na kwingineko ila sijasikia kata ya yoyote ya wilaya ya ilala,jamani kulikoni huku ilala?
kwa mujibu wa tangazo la nbs mwisho wa kuwasilisha fomu za maombi ya kazi ya muda ya sensa ilikuwa ni tarehe 25/7/2012 kali ya mwaka ni pale nilipofika ofisi ya jiji mwanza na kukuta tangazo...
Napenda kuwataarifu wale wote waliosomea (I.T) kwamba kuna nafasi zaidi ya 9900 ambazo zinapatikana kwenye kampuni ya (RET)mob security na pia inatangaza kutafuta mawakala nchi nzima.wanapatikana...
Jamani naomba mnipe ushauri:
Toka nimeanza kutuma maombi ya kazi katika taasisi mbalimbali za ummma na binafsi sijaitwa interview hata moja.
Nilipoongea na rafiki yangu mmoja akaniuliza kama...
Call for interview for Internal Auditors, Accounts Assistants, Assistant Accountants, Accounts Technicians, Senior IT Analysts, IT Analysts and Park Rangers
Changamkeni wakuu
Wako kimya au ndo wamepeleka ndugu zao mikoani ili wakimaliza miezi6 warudi Dsm kama walivyofanya previous?????
Kama tayari mliitwa semeni ni nifute kwenye kumbukumbu zangu.
Yap wanajamvi,nimemaliza udsm civil engineering leo tar 18 june 2012..natafuta kazi wandugu,wenye info anijuze..email yangu gannzowa@yahoo.co.uk .thanx
Kumekuwa na manung'uniko ktk kata yetu ya ndugumbi magomeni juu ya uchaguaji wa makarani wa sensa,Mtendaj wa kata kaweka watu wake na pia watendaji wa ccm!Nchi inakwenda wp?Na baadh ya waliopata...
wadau na wanajf kwa ujumla,anaomba juwajulisha kuwa kwa wale walioomba nafasi za ukarani na usimamizi wa sensa majina yamebandikwa ofsi za watendaji wa kata na kesho ni siku ya usaili hasa kukagua...
Tume ya ajira wameita watu kwenye interview kwa nafasi mbalinbali tarehe na mahali tofautitofauti. Je? Sio kwamba wanaturudisha kwenye kile tulichokikimbia na hata tukaanzisha secretariat ya...
Hivi tangazo waliloweka katika mtandao wao ndio linawahusu walioomba kazi zilizotangazwa tar 28 mei?au kuna wengine waliomba kabla?
Tusaidieni sisi tuliopo huku garijembe maana isije tukastuka...
Natafuta kazi ya fundi sanifu msaidizi wa maabara, kwa sasa nipo bila kazi baada ya kumaliza mkataba wangu na project ya kimarekani iliyokuwainajishughulisha na utafiti wa malaria.
Nina experience...
TANZANIA NATIONAL PARKS
CALL FOR INTERVIEW
Tanzania National Parks (TANAPA) is a Parastatal Organization whose mandate is to
manage and regulate the use of areas designated as National Parks...