Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Nina degree ya law,nimepata kazi ya Afisa mtendaji kata II, salary TGS D, pia leo nimepigiwa simu nikajiunge na JWTZ kwa kupitia JKT kwanza 6 month, naomba ushauri wapi pazuri zaidi. ile afisa...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
. HI JAMII FORUM. ITS MA HOPE YOU DALL OING GOOD.KUTOKANA NA UKOSEFU WA AJIRA NCHINI,NDUGU YENU NIMEAMUA KUJIAJIRI HUSUSA KATIKA cha mawasiliano,MTANDAO WA MAWASILIANO ya kampuni TIGO!KWA KUWA NI...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
hivi isu ya job vacancy inapowekwa zoom baada ya kama siku kadhaa unakuta ile list imetolewa maybe hata deadline ya ile vacancy haijapita ina maana gani!!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kunijuuza kwa mtu anaye wafahamu walipo company inayoitwa LOTUS VALLEY.Sorry kama nimekosea kuandika lakini inatamkwa (Lotas Valley).AHSANTENI KWA MSAADA WENU.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani vipi wale wa module E ?
0 Reactions
60 Replies
14K Views
Ningependa kupata ushauri kutoka Zoom,mimi npo chuo kikuu ndo naingia mwaka wa 3 nasomea Business Administration in Accounting, session ya jioni,je kama tangazo la kazi limetoka linamtaka mtu...
0 Reactions
0 Replies
935 Views
jiulize kama utakoswa wewe kuna ndugu zako wataingia katika uhu mtego wakati wa kutafuta ajira kila mewzi kama watafanikiwa kukamata wazembe wa kufikiria 50*25000=watavuna 1,250,000 .....hawa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Samahani wadau, Nimesikia kwamba tume ya ajira wametoa nafasi karibu 600, tafadhari aliye na links ktk hili atujulishe. Samahan kwa usumbufu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani hawa jamaa walitangaza nafasi za kazi mwezi June na deadline ilikuwa june hyo tar 18. Vp kuna yeyote mwenye taharifa kuhusu hawa watu?
0 Reactions
8 Replies
3K Views
"Applicants for entry levels currently employed in the Public Service should not apply, they have to adhere to Government Circular Na. CAC. 45/257/01/D/140 dated 30th November 2010" AU "Waombaji...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
*A New luxury lodge is looking for suitable Tanzanians for the following positions:-* * * *1.Lodge Accountant.* Looking for a smart hard working Accountant for small 5 star exclusive...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Aga Khan University seeks well qualified and matched candidates for the following two roles: Please send your CV and cover letter to: HR.TIHE@AKU.EDU Position: Site & Office Manager *...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naomba mwenye uzoefu na hz interview n maswal gani ambayo natakiwa ku uliza endapo nitaewa nafasi na pannel nitakapo kuwa kwene interview. plz maswal ambayo ni general
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Natafuta mtu aliyetayari kufanya kazi kwa kutumia muda wake wa ziada pasipo kuingilia muda wake wa kazi zake za kawaida. Pia atajipatia kipato cha ziada nje ya mshahara wake! Iyo kazi ni network...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Tunahitaji vijana kwa ajili ya kuuza bidhaa zetu (vitabu) kwa kutembeza mtaani ( kwenye maofisi, mabaa, vyuoni, barabarani, njiani nk). Kwa wanahitaji , tafadhali wasiliana nasi kwa: La VIVA...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mtakumbuka kuwa nhc walitoa nafasi mbalimbali za kazi tangu mwezi wa 4 moja wapo za nafasi ikiwa ni zile za call centre supervisor, naza uhasibu. Naomba kujuzwa vipi kuna watu walishaitwa kwenye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hello!Nmehtim shahada ya kwanza biashara ktk menejment ya utalii & ukarimu hvi karibun!Nipo "vizuri" ktk fani yng kijumla, kwa sasa NAHTAJI TEMPORALY JOB hata kfundsha colleges" Mwny ushauri wa...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23,nitakuwa likizo kwa muda wa miezi miwili kama kuna kazi itatokea inahitaji dereva niko tayari kufanya kazi kwa makubaliano. Ni mwanachuo chuo kikuu cha...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
UNDP in Tanzania -Vacancies and Consultancies mpya hizi kazi ni kwako!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kampuni mpya ya Ulinzi, Usalama na Inteligensia inakaribisha maombi ya watu wachache wenye sifa zifuatazo: 1. Jinsia: Kiume na Kike 2. Umri: Miaka kati ya 20 na 30 3. Elimu: Kuanzia Form IV na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…