Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Last week nilipigiwa cm kuhudhuria kwenye usaili j5 then j4 nikapigiwa tna wakasema wameahirisha watanijurisha. NTAITWA?
0 Reactions
15 Replies
3K Views
HEAD OF INTERNAL AUDIT DIVISION- Manpower Services (T) Ltd Requirements : Must be a CPA (T), or ACCA holder. MBA Finance and BCom in Accounting will be a distinct advantage. A minimum of...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
NAFASI YA KAZI TUNAHITAJI WATU WAWILI KWA AJILI YA SALES NA MASOKO WENYE UZOEFU USIOPUNGUA MIAKA 3 WENYE UTAYARI WA KUFANYA KAZI MKOA WOWOTE, WENYE ELIMU YA KUANZIA "DIPLOMA" AU "DEGREE" AU...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
I am sociologist.. Natafuta kazi kwenye NGO's popote in Tanzania..lakini nitafurahi zaidi ikiwa northern zone natanguliza shukrani..
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mnamo wiki iliyopita nilipigiwa simu ilisema anapiga kutoka African Gold Mine(AGM)akisema cv yangu imepita katika hatua nyingine kwahiyo wiki lijalo kuna interview iwapo ningependa kupita kwenye...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
In a nutshell the incumbent will be responsible for: Providing administrative support to area sales managers and petrol stations to enable...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Are you a web designer/developer? Looking for employment? Are conversant with CMS such as Joomla? Send me your number and I will connect you. Someone is looking for you.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napenda kuwapa hi JF memberz wote!! Regards, Prince.
0 Reactions
4 Replies
989 Views
For those qualified and interested, may have a look on and try this: UNCDF Jobs - 30139- National Consultant for the Start Up of the Local
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada wa kuelewa wapi na nani anayecertify vyeti. Serikali imetoa tangazo kupitia sekretarieti ya ajira sasa kwenye masharti ya jumla kuna hiki kipengele (kwenye red) GENERAL...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
HABARI ZENU WAKUU. Jamani wenzangu kutokana na ugumu wa kupatikana kazi na kupigika mtaani nimeamua kuja hapa jamvini. nadhani kila mtu anaelewa jinsi ambavyo vijana wengi wanasota mtaani,nami...
0 Reactions
23 Replies
10K Views
Wana Jf naombeni kuuliza hivi wale walio fanya aplication za kujiunga na jesh la jkt wameshaanza mafunzo, pia watakaa mda gani hadi kujiunga na JWTZ tena?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa maelezo zaid tembelea Nafasi za Kuajiliwa na Kujiajiri : Nafasi za Kazi
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wassalaamu wanaJF!! Naomba mwenye ufahamu wowote hawa jamaa ORYX kuna kazi walitangaza mwezi April kama wameshaita au laaa...Nitashukuru sanaa
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi ni kijana niliyehtimu kidato cha nne mwaka jana! Natafuta kazi ya kuuza duka au kazi ya aina yoyote ile! Mshahara 2taelewana. Mawasiliano; email. Crissalex1@live.com. Simu namba. +255719665022.
0 Reactions
28 Replies
8K Views
  • Closed
TANZANIA NATIONAL PARKS VACANCIES ANNOUNCEMENT Tanzania National Parks (TANAPA) is a Parastatal organization charged with legal mandate to manage and regulate the use of areas...
3 Reactions
26 Replies
19K Views
Hi guys, hope your doing good. New thinker in the thinkers village. nice time
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Natumai nyote wana JF ni wazima Kwa kauzoefu kangu kadogo kuhusu written interview za tume ya ajira 1. Watakiwa urudi tena kwenye madesa yako yaliyojaa vumbi kutegemeana na nafasi uliyoomba...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wah. salaam, hivi inakuwaje SUMATRA NA TBS walitangaza kazi muda mrefu sana na hadi sasa hawajaita watu kwenye usahili, au ilikuwa chnga la macho watu wao wameshaanza kazi!!!!!!! Tuambizane wajemeni
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…