Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Nina astashahada ya kilimo na mifugo natafuta kazi popote hapa tz kama kuna mtu anafahama wapi nitapata ajira anipm
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tanzania Revenue Authority Jobs Feb 2012 Research Officer (3 Posts) 1.0 Purpose of the Job To prepare the input for the taxation, broader fiscal Research Officer (3 Posts) 1.0 Purpose of...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Uongozi wa Kampuni ya ILOVO Kilombero Sugar Ltd. unayo furaha ya kutangazia UMMA kuwa msimu wa kukata Miwa umeanza rasmi. SIFA ZA MUOMBAJI: Awe na tabia njema Awe na afya njema. Awe na Bidii...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Wanahitajika vijana 10, wenye uzowefu wa kufanya kazi ya promotion Kwenye maonesho ya biashara. Mf. Sabasaba. Hawa wanatakiwa haraka sana, sehemu ya kazi ni Dar. Kwa more info Call this...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Job Title: Project Accountant Position Description: Job Summary: The post holder will have dual reporting lines with strong line to Country Finance Manager and dotted line to Ifakara Program...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauliza zile nafasi za mwezi wa kumi 2011
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ni mvulana mtanzania mwenye umri wa miaka 26,niongeae kiingereza sanifu,mwenye uzoefu wa miaka miwili kwenye fani ya mlima kilimanjaro nikitumika kama mpishi na msaidizi wa kiongozi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Anatakiwa mtu mwenye kujituma kwa kazi ya Meneja wa shamba (Farm Manager). Shamba husika liko Segerea jijini Dar-es-salaam. Shamba hilo pamoja na mambo mengine linalo ng"ombe wa maziwa wapatoa...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Ninatafuta kazi ya ulinzi kwenye makampuni binafsi na mashirika nina cheti cha kuhitimu mafunzo ya j.k.t hivyo mtu yeyote anejuamahali iliko au anayo tusaidiane wana j.f
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jamani huu ni msimu wa mavuno ktk jimbo la ismani tarafa ya pawaga, anayehitaji kazi aje huku kazi ni za kumwaga
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani wana JF kuna nafasi zilitangazwa na Care international, deadline ilikuwa tarehe 14 apr mwenye kujua mchakato umefikia wapi atufahamishe
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MED inatangaza nafasi za kazi kwa:- Afisa program - nafasi 1 Acountant - nafasi 1 Media officer - nafasi 1 Mtaalam wa kuhariri video na audio - nafasi 1 Tuma e-mail kwa rafiki.elimu@yahoo.com...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
MAPENDEKEZO YA KUBORESHA UTENDAJI KAZI WA MAAFISA UGANI KILIMO ILI KULETA TIJA. CLICK BELOW Hermes Power Inc: TANZANIA: RECOMMENDATIONS TO IMPROVE AGRICULTURAL IN TANZANIA
0 Reactions
0 Replies
961 Views
Fuata Link hapa. African Union Vacancies
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jana mishale ya sa 2 aubui, kulikua na written interview mitaa ya mwembe yanga kupata watumishi wapya wa serikali yetu. Kwa hesabu za makadirio ( ambazo pia zinakubalika), nusu ya walioitwa ndio...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
jamani wadungu tujuzane waliofanya written interview ya nafasi ya afisa uchunguzi ii kule mwembe yanga vipi wameshaita interview ya pili i mean oral interview????? Nawasilisha
0 Reactions
1 Replies
2K Views
ni muhitimu wa shahada ya kwanza ya takwimu,nina uzoefu wa kutumia staistical packages na kufanya research.
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Jamani kuna mtu anatafuta kazi huu maka wa tatu ana diploma ya law
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi, naomba mtu yeyote anaeweza kutusaidia juu ya hili suala, tunaambiwa pindi tumalizapo elimu zetu tujiajiri wenyewe.. Ni jambo zuri ila tatizo linakuja kwenye namna ya kujiajiri...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Job Title: Supplies Officer II (2 Post) Category: Supplies Management Location: MWANZA, Tanzania Employment Type: Full-Time Description: Duties and Responsibilities: •Responsible for physical...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom