Sikika seeks to recruit District Coordinators for Iramba, Kiteto, and Simanjiro with
immediate effect.
Responsibilities
Coordinate with partner organizations in the day-to-day delivery of...
habari wanaJF
Natafuta kijana wa kufanya kazi ya dukani,jinsia yoyote,awe na umri kati ya miaka 18 na 22 na awe mkazi wa maeneo kati ya kimara hadi kibamba,sio mbali na hapo,mawasiliano niPM.
Wakuu naomba kusaidiwa kujua ni nini maana halisi ya "Reference letter" kama inavyotumiwa sana na watu au makampuni yanayotafuta wafanyakazi, pls hebu shea nami...
wanajamii wezangu nifahamisheni kama mnafahamu kampuni au sehemu ambayo wanayotoa Hizi test, mana waajiri wa nje ya nchi wanazihitaji. Nilikosa ulaji Sudani Kusini but this time I don't want to...
Kati ya kufanya kazi serikalin ukalipwa mshahara wa let say 400000 au ufanye katka sekta binafc then ulipwe 700000?naombeni mwongozo wenu,maana ndo nakarbia kumaliza chuo afu kuna dili zinaanza...
Ndugu wanajf mm nina certificate ya general agriculture hivyo basi nahitaji kupata kazi mahali popote hapa tz katika makampuni na mashirika yanayohusiana na kilimo na mifugo
Jamaa mmoja aliiba TV, akaibeba na kisha akaanza kukimbia nayo,kumbe kwenye ile nyumba aliyoingia kulikua kuna mgonjwa wa akili, akaanza kumkimbiza yule mwizi. Kila mwizi akiongeza spidi na...
Wadau naomba ushauri ni wilaya gani nzuri kati ya Kiteto, Iramba na simanjiro. kuna kazi nimeapply nikaambiwa nichague japo interview bado. naomba wadau mnipe ushauri plz.
Kwa waajiri wenye kutafuta watu wa bachelor degree of business administration, nina uzoefu wa book-keeping related functions wa zaidi ya mwaka mmoja pamoja na teaching experience ya masomo ya...
Anatafutwa HEAD OF FINANCE, MWAJIRI NI SIKIKA (NGO)
SIFA
1. CPA uwe nayo
2. Uzoefu miaka 3
3. knowledge of accounting packages na taxation system ya nchi yetu
4. marefa wawe 3
5. tuma CV NA...
Technicians wenye level ya Diploma au chet cha FTS wanahitajika kwenye moja ya Security Company hapa Dar es Salaam. Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na mimi kupitia 0715702886 ama tumia Email...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.