Hi Members of JF.
I am looking for a job. Here under is my qualifications in summary:-
Have recently completed Masters of Business Administration from the University of Dar es Salaam (First Year...
Jamani wana JF. Ifikie wakati tuwe serious na matangazo ya kazi mnayoweka! Mtu anaweka eti nafasi za kazi,anaweka chanzo mfano eti ni gazeti la Mwananchi,ukienda kulinunua unakuta hamna kitu mle...
Mimi ni msichana nina certificate ya ualimu wa chekechea nimesoma montesory mwanza .naomba msaada wenu wananchi katika ujenzi wa taifa letu .naishi dar
Ndugu zangu mimi niliitwa kufanya interview kwenye shule fulani hapa mbeya inaitwa umoja primary. Baada ya wiki mbili nilipigiwa simu na mtu ananiuliza ww ndo fulani nikasema ndiyo lakini...
Habari JF?
Nime graduate BSc Computer science kwenye chuo kimojawapo nje ya nchi.. Ningependa kufanya kazi nyumbani Tanzania, kwa hiyo ninaomba mwenye taarifa za zitakazowezesha kupata kazi ya...
VACANCY ANNOUNCEMENT
The Principal Commissioner of Immigration Services announces vacant posts in the Immigration Department. Any Tanzania Citizen with minimum qualifications mentioned hereunder...
Hallow jamii forum tanzania.
kampuni ya zenith Training inajihusishana mafunzo ya komputa na project tofauti inahitaji vijana wawili wenye uwezo wa kujieleza, kuongea kingereza, wenye kupenda...
Nasikia Idara ya Uhamiaji wametoa nafasi. Inasemekana gazeti la Mtanzania la leo zimemwagwa humo. Mwenye access nalo atumwagie humu wenye nia na kazi hizo wajaribu bahati zao.
Naomba kuuliza hivi hawa wageni hupata pata vipi ruhusa za kufanya kazi nchini?
Tanzania kwa sasa imejaa watasha na wachina. Ajabu wote hawaongei lugha ya nchi
na wachina wengine hata kiingilishi...
Hi. Nina-design nembo(logos). Pia naweza kuboresha nembo unayomilki. Ila sijhusishi na design zinazohusu kampuni au bidhaa zinazohusika na ulevi, kamari na vitu kama hivyo. Hii ni katokana na...
Position: Creative Graphical Designer
Report to: Chief Executive Officer
Hours: Full time Employee.
Salary: TSH 650,000
Creative Graphic designer job is a creative job which has a high visual...
Position Title: Digital Printing Manager
Reports To: Chief Executive Officer
Hours: Full-time
Salary: TSH 650,000 Net.
SUMMARY: The Digital Printing Manager oversees and manages the day-to-day...
Kwa yeyote aliye na nafasi ya uuguzi au utafiti wa afya nipo tayari kufanya kazi hiyo. Nina uzoefu wa miaka 5 katika hospitali kubwa za serikali. Kwa sasa nimehamia dodoma na ninatafuta kazi.
wengi wenu mumesikia kuwa Jwtz wametoa nafasi kwa wale wenye vipaji vya.....
kucheza ngoma za asili.
Kupiga ngoma za asili
Kupiga gitaa
Kupiga kinanda
Kupiga Drums
Kila kihusianacho na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.