Wandugu habari
naombeni msaada jamani natafuta kazi ya procurement and supplies management.
Nina degree ya procurement and supplies management.. And nina malizia proffesional stage ya research...
Kuna tenda zilitoka juzi za vitu mbali mbali ila sijaona vijana wenzangu wakizichangamkia, naweka tena hapa labda una mtu unaemfahamu. Wasilaiana na watu wa Africare
. Kuna wachache wa JF...
Habari zenu wana JF,
Hii topic imezaliwa baada ya member mmoja kumpa ushauri member mwengine katika moja ya hot threads hapa. ushauri wenyewe ulikuwa ni kutafuta kazi za kusomesha katika business...
habari zenu wanajamii...me ni msichana mwenye umri wa miaka 25 nimegraduate bachelor of business adminstration last year! natafuta kazi katka mkoa wowote hapa tz! nawezafanya kazi ktk depatment...
NAFASI ZA KAZI UTUMISHI APRIL 2012
Ref. Na EA.7/96/01/B/51 13th April, 2012
VACANCIES ANNOUNCEMENT
The Public Service Recruitment Secretariat was established in accordance with section No.29...
naomba mnijuze wanajamiiforum, research officer ll, agro-officer ll na wakufunzi walishaitwa kwa usaili wizara ya kilimo? Nawasilisha nipo bush magazeti hayapatikani kiurahisi.
Do you want to make money online??
--ITS FREE
--NO BANK DETAILS NEEDED
--NO REGISTRATION FEES
VISIT(OR CLICK ) THE RED LINK BELOW
http://signup.wazzub.info/?lrRef=d56aa5e9
Nafasi ambazo hazikuwekewa idadi ktk jeshi la Magereza zimetangazwa leo ktk gazeti la Daily News.NAFASI HIZI NI KWA VIWANGO VYA ELIMU kuanzia Degree hadi waliomaliza kidato cha nne kwa kwa kupata...
Mimi ni mgeni katika jukwaa hili, naombeni msaada wenu nipo Arusha na nina tafuta kazi hata kwa mtu binafsi nitafanya si lazima serikalini.Professional yangu ni Receptionist, Secretary and...
Wana JF kama una ndugu au jamaa aliyekuwa ameomba kazi utumishi, wametoa maelfu ya majina na kutangazwa kwenye gazeti la daily news la leo Ahamisi (12/04/2012). Hivyo wajulisheni wapendwa wenu ili...
Taarifa nilizonazo mpka muda huu ni kuwa wanajeshi wenye elimu ya stashahada au diploma wanatarajia kuanza usaili tar 16/04 mwaka huu.
kwa haraka haraka ni kuwa wanafikia kama 200 hivi ambao...
Habari wakuu, nimeitwa kwenye usaili na secretarieti ya ajira katika utumishi wa umma. Nafasi ya afisa uchunguzi daraja la pili ofisi ya secretarieti ya maadili ya viongozi wa umma. Naomba kujua...
Hellow JF members,natafuta kazi ya customer service kwnye kampuni au mtu binafsi,elimu yangu diploma,nimehangaika japo sijakata tamaa,mwenye nafasi asinisahau,asante.
majini ya watumishi ambao madeni yao yameshindikana kulipwa kwa kukusekana kwa akaunti zao za benki
SOURCE; Majina ya Watumishi ambao madeni yao yameshindikana kulipwa kwa kukusekana kwa akaunti...
Kagera Development and Credit Revolving Fund (KADETFU) is a National Non-Governmental Organization (NGO) that is based in Kagera region, it is located in Bukoba town, in the North western part of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.