Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

nb Polen na msiba kwa wapenzi wa kanumba hope mungu atawasaidia kwa wale wanaotaka ku make money online please visit WAZZUB - The Power of "We"! fuata maelekezo mpaka mwisho na hakikisha una...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Closing Date: Sunday, 29 April 2012 ICT SPECIALIST / BUSINESS INTELLIGENCE Location : Kinshasa, CONGO, DEM. REPUBLIC Application Deadline : 29-Apr-12 Additional Category Management Type of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni binti mhitimu mwaka 2010 wa BA in Mass com specialized in PR, from SAUT nahitaji msaada wenu katika kupata KAZI/ AJIRA ya PR hata communications pia, nafasi za mikoani ni nzuri zaidi kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau nimeitwa kwa interview SUMATRA (Legal Officer). Niliomba kazi muda mrefu baadaye nikapata kazi sehemu nyingine. Ninafikiria kupotezea ikiwa hela yao sio ndefu sana. Tafadhali nishauri...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Wadau naomba kuuliza kwa mtu yeyote aliyefanya Interview NSSF!! Waliwaita watu wote ambao walikuwa wanawahitaji kwa second Interview au bado wataita tena??
0 Reactions
6 Replies
2K Views
A startup IT company is looking for a receptionist / office secretary. Responsibilities : Manage all incoming and outgoing mail/correspondence and documents systematically Tactful and...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nafasi ya kazi ya ukutubi awe na diploma.tuma cv yako kwa:bkitandala@yahoo.com
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Habar wanajamii?,mi ni kijana wa kiume na mtanzania. Nimehitim digrii ya uhasibu(bachelor of Accountancy-2011) pia nina uzoefu wa miaka miwili as CASHIER,naomba yeyote mwenye nafasi ya kazi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Social Security Board (RSSB) is a public institution established after the merger of Social Security Fund of Rwanda (SSFR) with the Rwanda Health Insurance Scheme (RAMA). The mandate of RSSB is to...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Tunashughulika na ujenzi wa nyumba, kukadiria na kubuni majengo, kufanya ukarabati wa nyumba, kazi za ceramic tiles na aina zote za vigae. kwa mawasiliamo {+255756777672, +255789037812 au...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
mie ni mwanafunzi, mwaka wa Pili na nasoma bsc. geology. mwezi wa 7 mwanzoni nahitajika kufanya field ktk mgodi wowote unaohusika na exploration hapa Tanzania ikiwa ni sehemu ya masomo yangu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tuna tafuta mafundi wa aluminium. Pm me.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanajf!mimi ni msichana nina diploma ya business management,natafuta kazi za customer service,reception,office manager and any job related to my profession nina experience ya mwka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naweka link yakazi hapa wale mnaolalamika mkitaka mpewe maelezo yakazi subirini na kama mnatumia mobile poleni mmejawa na uvivu mnataka kila kitu kwenye kiganja hamuwezi kwenda cafe...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Anaitajika phamacist wakusimamia pharmacy mwenye cheji kilicho sajiliwa. Kituo cha kazi kipo Dar es salaam Sinza . Mawasiliano - 0655886788 , Email- living_sto20@yahoo.com
0 Reactions
1 Replies
999 Views
Habari!kama kuna mtu anataarifa zozote kuhusu shortlist ya Tumaini University branch ya Njombe anijulishe.Thanks
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani nina hamu ya kufanya kazi nje ya tanzania, what am i supposed to do?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
akwenda kinyume na mitazamo hasi ya wavivu wengi nchini wasemao ati watanzania tu wavivu. Nadhani udahili wa ajira ndio wa kivivu kwa vile hawataznini unacho kichwani bali nani unamfahamu humo...
0 Reactions
0 Replies
907 Views
Nafasi za kazi za magazetini za leo nenda http://www.vijanajobs.com/tz/jobs/
1 Reactions
10 Replies
9K Views
Back
Top Bottom