Job Title: Field Project Manager ; Cassava Seed Distribution System -Pilot project in Tanzania
Mennonite Economic Development Associates
Project Description
The Cassava Seed Distribution System...
Habari zenu wadau,mimi ni graduate mwenye degree.ninatafuta kazi ya customer service. Nina experience ya mwaka mmoja. CV is available upon request. Iam serious on this,for my contacts pm me.
Kwa wale engineers waliograduate UDSM within last 2 years, waweza kuapply hii visa, kwa sasa Australia inachukua ma injinia kutoka baadhi ya vyuo nje ya Australia...ndani ya Africa vyuo ambavyo...
(tangazo lipo hai kwa siku 14 toka Aprili 09.2012)
VIGEZO NA WAJIBU
· UMRI MIAKA 18 NA KUENDELEA
· MKARIMU, MCHESHI NA RAFIKI WA WATU WOTE
· MWENYE MOYO WA KUJITUMA...
Job Title: Packaging Technicians I (17 Vacancies)
Group/Division: Packaging
Position Location: Qatar
Position Summary: Entry level position into the Packaging department. The associate will...
Polen na majukum wadau,hv kwa nn mashirika ya umma na sekta nyingine za serikali hawaweki majina ya walioitwa kwenye interview magazetini?au ni garama kubwa sana? mfano TRA juzi walipiga sm na...
Mimi ni kijana wa miaka 19 na nimemaliza masomo yangu ya kidato cha 6 february mwaka huu,kutokana na ugumu wa maisha bila pesa na pia kuepuka vishawishi vinavyo jitokeza mtu anapo kaa bila kazi...
Nigraduate wa mechanical engneering 2006 with experience . Naomba wadau watakaoona tangazo lako wanipm tafadhali. Niko dar with my family. Be blessed wadau
I am a nurse professionally,worked for health programs with experience of more than 8 years.Please anyone here who have anything or have some connections which will fit me it will be ma...
WADAU NAITAJI HARAKA SANA GRAPHIC DESIGNER MWENYE UZOEFU MKUBWA AWEZE KUNIANDALIA HIGH QUALITY PROMOTIONAL MATERIALS ZA KAMPUNI KWAAJILI YA E-MARKETING CAMPAIGN KAMA E-BROCHURES,E-FLAYERS,E-...
Natafuta kazi ya usekretari jijini Arusha. Nimesoma na sekondary na kumaliza form 4, na nimesoma stage one ya secretarial na computer veta na kufaulu vizuri. Ninauzoefu wa miaka miwili kwenye...
Habari wana jamii,
Kuna tovuti inatoa taarifa kedekede za kazi na ajira bure. Huko tunaweza kujifunza mambo mengi ya manufaa kwetu, kama vile maswala ya viwango vya chini vya mishahara kisheria...
habar wanajamii! Nimemaliza masomo ya kidato cha 6, natafuta tempo ya kufundisha hesabu mashulen au centers, kidato chochote 1 mpaka 6. Nipo tayar kufundisha hapa mkoani dar au pwani. Au nipen...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.