nb
Polen na msiba kwa wapenzi wa kanumba hope mungu atawasaidia
kwa wale wanaotaka ku make money online please visit WAZZUB - The Power of "We"!
fuata maelekezo mpaka mwisho na hakikisha una...
Mimi ni binti mhitimu mwaka 2010 wa BA in Mass com specialized in PR, from SAUT nahitaji msaada wenu katika kupata KAZI/ AJIRA ya PR hata communications pia, nafasi za mikoani ni nzuri zaidi kwa...
Wadau nimeitwa kwa interview SUMATRA (Legal Officer). Niliomba kazi muda mrefu baadaye nikapata kazi sehemu nyingine. Ninafikiria kupotezea ikiwa hela yao sio ndefu sana. Tafadhali nishauri...
Wadau naomba kuuliza kwa mtu yeyote aliyefanya Interview NSSF!!
Waliwaita watu wote ambao walikuwa wanawahitaji kwa second Interview au bado wataita tena??
A startup IT company is looking for a receptionist / office secretary.
Responsibilities :
Manage all incoming and outgoing mail/correspondence and documents systematically
Tactful and...
Habar wanajamii?,mi ni kijana wa kiume na mtanzania. Nimehitim digrii ya uhasibu(bachelor of Accountancy-2011) pia nina uzoefu wa miaka miwili as CASHIER,naomba yeyote mwenye nafasi ya kazi...
Social Security Board (RSSB) is a public institution established after the merger of Social Security Fund of Rwanda (SSFR) with the Rwanda Health Insurance Scheme (RAMA). The mandate of RSSB is to...
Tunashughulika na ujenzi wa nyumba, kukadiria na kubuni majengo, kufanya ukarabati wa nyumba, kazi za ceramic tiles na aina zote za vigae. kwa mawasiliamo {+255756777672, +255789037812 au...
mie ni mwanafunzi, mwaka wa Pili na nasoma bsc. geology.
mwezi wa 7 mwanzoni nahitajika kufanya field ktk mgodi wowote unaohusika na exploration hapa Tanzania ikiwa ni sehemu ya masomo yangu...
Habari wanajf!mimi ni msichana nina diploma ya business management,natafuta kazi za customer service,reception,office manager and any job related to my profession nina experience ya mwka...
Naweka link yakazi hapa wale mnaolalamika mkitaka mpewe maelezo yakazi subirini na kama mnatumia mobile poleni mmejawa na uvivu mnataka kila kitu kwenye kiganja hamuwezi kwenda cafe...
Anaitajika phamacist wakusimamia pharmacy mwenye cheji kilicho sajiliwa. Kituo cha kazi kipo Dar es salaam Sinza .
Mawasiliano - 0655886788 , Email- living_sto20@yahoo.com
akwenda kinyume na mitazamo hasi ya wavivu wengi nchini wasemao ati watanzania tu wavivu. Nadhani udahili wa ajira ndio wa kivivu kwa vile hawataznini unacho kichwani bali nani unamfahamu humo...