....wanajamvi hivi hizi post zilizotolewa na wizara ya kilimo mwezi november 2011 bado hawatoa shortlist? mwenye kujua au aliye na fununu atudokezee..asanteni
Wakuu najua hili ni jungu kuu nitapata ufafanuzi juu ya hili
Nina mtoto wa shangazi yangu amesomea mambo ya udereva na baada ya kumaliza akafanya mitihani na kisha akapata new driving licence...
I am Tanzanian currently base in England, looking for an IT support position in East Africa especially in Tanzania. My Educational background includes:- · BSc Computing · HND in...
Sales and Marketing Manager WomenCraft - Dar Es Salaam
Pastoralist Program Training and Learning Coordinator Tanzania Natural Resource Forum -Arusha...
Angalizo: Mods kwa hekima mnaombwa msiiamishe thread hii wala kuichanganya na nyingine yoyote.
Wanajamii; Wana JF
Mwaka 2010 tulifanya mchakato wa kumpata JF Man & Woman of The Year 2010...
mambo? jaman hivi kweli nafasi za uhakimu zimetoka? nmeskia kwa daladala watu wanaongea ila nimetafuta kwenye magazet sijaona, je ni kwel zimetoka na gazeti gan labla limetoa?
Ni takribani wiki mbili sasa tangu tufanye interview ya kwanza na CRDB Bank upande wa Microfinance pale CRDB BANK HOUSE-MIKOCHENI INDUSTRIAL AREA kwa post ya Relationship Manager-Microfinance na...
WZZUB- The Power of "We"
log in at http://signup.wazzub.info/?lrRef=b688c446
halafu tushirikishe ulichogundua tafadhali, fuatilia ucwe mvivu,uckate tamaa, it may work for you perhaps, best of...
Mimi ni job seeker lkn nipo kijijini nalima mpunga hivyo mara nyingi simu yangu inakuwa mbali maana mazingira ya kaz ni maji tu hivyo naogopa kuilowanisha simu. Jana nilipigiwa simu mchana na...
Mi ni kijana wa kiume natafuta sana kazi maisha magum huku mtaani. Nina digrii ya UHASIBU pia ujuzi wa computer eg MS word,excel,power point,database na email and internet. Nafaham pia...
natumain wanajf Mungu amewaamsha salama mimi nina form six qualification na insurance certificate of ifm bada ya hapo ckuweza kuendelea tena mwaka 2008. cjafanya kazi sehemu yoyote sijui
Kama...
Natafuta tempo ya kufundisha sekondari kuanzia form one hadi six, nafundisha masomo ya civ, geography na general studies. nina uzoefu wa miaka minne na ushei. nicall ktk 0714-408238. sina bei kubwa.
Naitwa Florence B. Ndibalema wa chuo kikuu cha Dar es Salaam natafuta sehemu ya kufanyia field yangu mnamo mwezi wa sita tar 25 hadi mwezi wa nane tar 17 hivyo kwa yeyote mwenye msaada wa kunipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.