Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

wana jf naomba kujua hawa jamaa wanalipa sh ngapi kwa hizi kazi za data entry zimeanza mwezi wa kwanza 2012
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Kampuni ya usafirishaji mizigo inatafuta afisa masoko mwenye uzoefu na kazi za usafirishaji mizigo. Kampuni ni mpya, hivyo kuna changamoto nyingi hasa katika kutafuta masoko. Ipo dar es salaam...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jamani zile nafasi za kazi ambazo tuliomba TRA, shortlists bado au kama kawaida
0 Reactions
22 Replies
5K Views
ST JOHN'S UNIVERSITY OF TANZANIA Position(1post): Centre Accountant Education/Qualification: Holder of B.Com, BAF, with CPA Position(1post): Associate Dean of Students...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu, Nimepigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kuwa anapiga simu kutoka UDOM anasema oral interview ni Jumanne saa mbil asubuhi. Mi nilifanya ile aptitude ya Human Resources Officer. Kuna...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
jaman natafuta kaz katika kampuni yoyote elimu yangu nidiploma ya journalism, pia nina uzoefu na computer
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wana jukwaa tafadhari tupeane na michongo ya tenda pia nadhani kuna watu wamejiajiri kwa sekta mbalimbali itakuwa asanteni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Gender Intern UNDP -Nairobi Finance Manager Relief International -Kampala...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari majukumu wakuu. Tafadhari ndg zangu mwenye tangazo la kazi AFRICARE naambiwa liko kwenye gazeti la The guardian la leo tusaidiane infomation. Si mnajua tena wengine tuko porini jamani...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jamani kwanza kabisa sipondi uwepo wa kazi hizi za kwenye mitandao,niliwahi kuifuatilia documentary moja hivi kupitia Aljaazeer,watu kweli wanapiga hela, lakini asilimia 98 wanapigwa hela, yaani...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Tuliambiwa tutapigiwa simu after two weeks kupewa matokeo ya usaili,kuanzia tarehe 3 feb mpaka leo kimya hamna mtu aliyepata call!!Au ndo tumekalia kuti kavu,mwenye taarifa tafadhali atujuze.....
0 Reactions
18 Replies
4K Views
habarini wanajf ,hivi zile post za dec za Ewura wameshaita watu kwenye Interview? wmenye infor atuambie asanteni wakuu!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Dear Friends; An experienced Local Consulting Company with National and Regional Consulting assignments is looking for Consultants who are experienced to work on different assignments on...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
habari, eti hawa jamaa diamond international trade co ltd zipo wapi na wanahusika na nini kwa wanaofahamu
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habarini nilikuwa naomba mnijuze kama custom walishaitwa ,post za dec mwishon!
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Jamani wan JF NSSF wameanza kupiga cm ila wanadai wana counter check sijui wanacho counter check ni nini me nimepigiwa na tigo namba mdada kajitambulisha na kuniita jina fresh kisha akaniuliza...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
MBEYA CEMENT COMPANY LIMITED Position: Supply chain Manager Education/Qualification: University degree in business Detail: Mwananchi 29 February 2012, Deadline 21 march 2012 Contact: P.O.BOX...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
PRESIDENT'S OFFICE Position: Chief Executive Officer Education/Qualification: Master Degree in fisheries and aquaculture discipline Position(1post): Director of finance, Personnel and...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mimi Ally nimequalify masomo yangu ya pharmaceutical kwa ngazi ya cheti ningependa kuwaomba ndugu zangu nahitaji ajira endapo kunasehemu wanahitaji tuwasiliane kwa no.0763424125
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habari wanaJF,nina kampuni inayodili na biashara ya vyakula na nyinginezo,natafuta tenda ya kusambaza vyakula,popote hapa TZ.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom