Wadau...
Naomba kufahamishwa aina za ajira ambazo mhitimu wa shada ya Social Work aweza zifanya katika sekta tofauti na serikalini...
Serikali inajua ila yafumbia macho umuhimu wa wataalam hawa na...
Tunatafuta assistant lab technician mmoja aliyefuzu nakupata cheti halali, atafanya kazi kwenye dispensary iliyopo maeneo ya tandika. Call 0714 033 128.
Nimekuta mtu kamnukuu mwanamakala kutoka Michuzi Blog akiwa ameipa kichwa cha habari watanzania wasomi ndio tatizo la nchi yetu.na kutoa sababu ni
1. Tunalalamika sana
2. Tunapenda kuajiriwa "...
leo nimekutana na rafiki yangu mmoja,anasema yeye ameshapangiwa na mkoa wa kufanyia kazi!kwani walimpangia sehemu ambayo hataki!hivyo wamembadilishia,kwani yeye aliitwa tu kwani ana god...
Habari zenu wandugu,
Niliangalia yale matangazo ya EAC yaliyoletwa hapa na nimeona kazi moja ambayo ningelipenda mno kupeleka maombi yangu. Tatizo ni kuwa tangazo linasema maombi yapelekwe kwa...
Communication Engineer in Eastern Africa
Job summary
Job title: Communication Engineer
Company: Danimex Communication Ltd.
Location: The assignment will cover 11 Eastern Africa Countries...
MIMI NAITWA ALLY NIMEMALIZA MASOMO YANGU YA PHARMACEUTICAL ASSISTANT MWAKA 2011 KWAHIYO NATAFUTA KAZI YA MTOA DAWA MSAIDIZI KWENYE PHARMACY AU HOSPITALINI my contact:0763424125 au 0652492848...
Salaam wadau!!
Tafadhali, kama kuna member yeyote humu jamvini ambae ni staff wa Standard Chartered Bank au anamfahamu staff wa hiyo benki, please; let me know!
wakuu kuna jamaa yangu kasoma hiyo kitu, analalamika kwamba hajawahi ona nafasi za kazi zenye kutaka qualification zake, je hizo kazi zipo au ndo alishaingia cha kike?
Wadau salam zenyu bana!!!!!!!!
Hivi jaman zile nafas za kazi kibao ambazo zilitangazwa na Hiki chuo arusha watu washaanza mzigo nini?
naombeni mwenye kujua anijuze
nawakilisha
Swala/Swali ni hili; Hivi posho( allowances) huwa zinakatwa kodi??
Je huwa zinajumuishwa kwenye mshahara then kupata gross salary ambayo inakatwa kodi...kwa maana hiyo na posho zimekatwa kodi...
Wadau. Nimegraduate 2 010 as a mass communicator n pr. Experience ya mwaka 1 na nusu ivi kazini. Sex male, 25yrs. Contact mi 0652590519. Thank yo u in advans..
NAFASI ZA KAZI ZA WAKALA MAUZO SALES AGENTS
Kongwa Beef ni Nyama yenye Ubora wa Kimataifa inayozalishwa na NARCO, Kampuni ya Ranchi za Taifa Limited ambayo hivi sasa inafanya maboresho ya...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Kumb. Na EA.7/96/01/B/09 22 Februari, 2012
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Sekretariati ya Ajira katika...
Wana JF
kuna ndugu yangu amemaliza kozi ya PR, Mass Communication, and Journalism,
anaomba msaada wa kazi ya PR. ansa experience ya miaka miwili kwenye fani husika he could be reached through...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.