Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

wana jf nipen direction natafta org za ku fund project yangu,, natafta donors wanao deal na rural development projects pliiiiz
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kila la kheri wote mlioitwa
0 Reactions
4 Replies
5K Views
WANAJAMVI Kuna kibarua hapa kwa wale ambao wanadhani wana-qualifications za kutosha
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Bot
jamani naomba kwa ambaye anajua kama BOT walishawaita kazini watu waliofanya interview mwezi wa 6 mwaka jana? mwenye kufahamu hilo naomba anijulishe
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kampuni yako ya kizalendo ishughulikayo na mambo ya Umeme na IT ya YECCO (T) LTD inatangaza nafasi ya kazi ya uhandisi wa Umeme: Sifa: A) Awe amehitimu elimu ya umeme wa viwanda na majumbani...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
jamani tupo mtaani, mambo magumu na tulisha zoea, jamaa angu tulie maliza nae chuo ni mtani sana sasa kanipigia cm eti wizara ya mifugo na uvuvi imetema majina ya waajiliwa na eti jina langu lipo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu zangu mambo vipi? Vipi Secretariet ya ajira wameita? zile za mwisho kutangazwa, ambazo zilikwepo za tandahimba
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hellooo wana JF.. Naomba mnijuze kwa mwenye taarifa kama NSSF wameshaita kwa ajili ya oral interview..
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Jaman tra bado tu?,hawaja shortlist?kwa zile post za 2012.Ambazo deadline yake ilikuwa 16.jan.2012?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Sasa imefika wakati wa kutoa nafasi za JKT kwa wataalamu wote...na kuacha mawazo mgando kuwa JKT ni kwa std 7 FORM 4,NA FORM 6 TU.
0 Reactions
10 Replies
4K Views
kuna ameziona nafasi za kazi za MEDITERRANEAN SHIPPING LTD zilizotangazwa kwenye gazeti la DAILY NEWS la Leo 9/02/12? naomba azipost .....
0 Reactions
3 Replies
2K Views
GRAPHIC DESIGNER – Dar-es-Salaam A small stationary shop in Kariakoo, Dar-es-Salaam is seeking a graphic designer. Responsibilities · Interpreting the client's business needs...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Matokeo ya interviews tayari anayefahamu atujulishe
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimeapply TRA field ya Assistant human resources vp wameshaita tayari mwenye infomation yoyote
0 Reactions
16 Replies
3K Views
United Nations Careers | Facebook Tazama kazi kila siku zinatoka!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Seven Estate Agents inatangaza nafasi ya kazi, ofisi meneja. Sifa za mwombaji. 1.Awe na uwezo wa kuandika na kuongea lugha ya kiswahili na kiingereza kwa ufasaha. 2.Awe anajua kutumia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau cc waalimu wapya tuliopangiwa kazi ktk mikoa mbalimbali tunaibiwa,subsistance allowance ni bei gani kwa jijij na mikoa? afu ni cku ngp?tetesi eti mwaka huu wanalipa cku 7 tu'kiasi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa kfupi hali mbaya mlio vitengo mtusaidie nasie wa chini namba yangu 0682-113313
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Wakuu wana Jf, Am so sorry kwa hili niulizalo kama utakwazika but plse naomba kufahamishwa ili niweze kujua kuwa hiki chuo tayari wameshatoa majina ya watu (shortlisted ) au bado? Ikumbukwe kuwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…