Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Wadau wa jf kwa yeyote mwenye shule, chuo au taasisi yoyote kama mnahitaji mwalimu wa computer aliyebobea katika course zote kwa kumaliza shahada ya ualimu kwa somo la computer tuwasiane email...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tovuti ya www.zoomtanzania.com ambayo imekua inatoa matangazo ya kazi imekua ina ficha anuani(email) za kazi husika ili muombaji aombe! Badala yake wameweka utaratibu amboa haueleweki eti utume...
4 Reactions
27 Replies
7K Views
wadau niko kwenye interview nasubiri kuingia hivi uniliver kwa post ya administrative officer plse
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau poleni na pilika za maisha ya kila siku. Nilisikia oral interview imefanyika kwa watu wa janitor wiki iliyopita, naomba kujua kwa wale walioitwa kama na wale wa post za ma-warden waliitwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
This Thursday(16/02/12)from 5:00pm, in Dar es salaam at JB BELMONT HOTEL there will be an event entitled "Think Beyond Employment" geared to connect you with business leaders in Tanzania .Come...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama umetokea kuifahamu e-mail ya BBC WORLD SERVICE TRUST TANZANIA, tafadhali msaada kwenye tuta
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ni mwaka sasa natafuta kazi, lakini sijafanikiwa, naombeni msaada hata kama ni kazi ya kujitolea
0 Reactions
3 Replies
1K Views
East, Central and Southern Africa Health Community Vacancy Advertisement Post of Administration and Finance Officer The East, Central and Southern Africa Health Community (ECSA-HC) invites...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta kazi inayohusiana na uhifadhi wa maliasili na utalii...mwenye taarifa sahihi anisaidie
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari poleni na mihangaiko ya maisha. Mimi ni graduate wa Rural Development Planning kutoka chuo cha mipango Dodoma 2011, kwa yeyote mwenye kujua taasisi au shirika lenye uhitaji wa mtu wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari nilizozpata kutoka chanzo makini ni kuwa JWTZ hawatatoa nafasi mwaka huu,na hata km zikitoka ni kuanzia mwezi wa 9 kuendelea...MAJESHI yatakayotoa ni POLISI(zishatoka wiki iliyopita) na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Downloads kitabu hicho kizuri sana
4 Reactions
10 Replies
2K Views
kuna bank fnb inataka wafanya kazi source rafiri yangu mzungu kutoka south africa
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tangu ajira za walimu zimetangazwa nimekuwa nikiona humu jamvini watu wakitaka kujua jinsi maeneo yalivyo huko walikopangiwa, mimi ofisi zangu ziko attached kwenye halmashauri ya Musoma Vijiji...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hii ni kozi iliyoanzishwa mwaka 1986 katika chuo cha usimamizi wa fedha (IFM) wakati huo ikitwa social security na sasa imebadilishwa mwaka 2005 na kuwa social protection sasa lengolilikuwa kuweza...
1 Reactions
3 Replies
6K Views
Wadau wenzangu, Benjamini Mkapa Aids Foundation (BMAF) walitoa nafasi za kazi mwishoni mwa mwezi wa 12 kwa post ya M&E Officer. Naomba kama kuna mwenye taarifa yeyote au ata kuna mmoja wetu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nimeiona hii mahala nimeona ni vyema nikiiweka pia humu... EMPLOYMENT OPPORTUNITIES Bulwark Associates Advocates, a modern and dynamic Law Firm based in Dar es Salaam, is currently inviting...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu bandugu, Kwa jamaa zangu wanaotafuta kazi japo mzingatie haya machache 1) Hakikisha CV yako ni fupi kwa kadiri inavyowezekana max page 2 ukishindwa kabisa 3 .Kama huwezi kuandika CV...
8 Reactions
14 Replies
2K Views
Bhaskaran Sareen <recruitersareen@gmail.com> Position: Sr. Cold Fusion Web Design Position Code: Contract Qty: 1 Opening Bill Rate Range: Your Best Rate Location: New Jersey Contract...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndg zang naomba mnisaidie ktk sehemu ya referees kwenye cv,eti hairuhusiwi kumuandika ndugu mwnye jina moja kma referee wko?na ni watu gani wanafaa kuw mareferee?mfano walimu wako,marafiki,mabosi...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…