nimepita ofisi ofisi nyingi sana lakini masekretari (reception)pale getin ni balaa dharau tupu,haswa dada mmojo mweupe ,mtotot lakini dharau tupu.Unaweza kuuliza swali tu la jibu dogo asikujibu...
Nyie walimu mna nini? Kila siku mlikuwa mkililia hizo post...mmezipata mnaanza tena kuleta makuu...mara kule bush sana siendi, bora nibaki skan....wengine wamekazana na kubadilishana..kafanyeni...
Wakuu mie ni mwajiliwa wa kampuni ya madini hapa bongo , na mshahara wangu kwa mwezi ni laki 7.3,nina miaka miwili nikiwa kazini, nini diploma ya Environmental Engineering nina first class ya GPA...
Urgently looking for Service Sales Specialist for a well reputed IT Company in Cairo ,Egypt The Ideal candidate must fulfill the following criteria s : Preferably B.Sc. in Electronic and...
Raia wema,
Tafadhali tusaidiane kupeana nws za watu waliokuwa shortlisted maana wengine tunategemea zaidi mtandao huu kuliko magazeti kutokana na mazingira tuliyopo, upatikananji wa gazeti ni...
Hello!wana jf habari?Hii jumuia ya kuhudumia watu wenye ulemavu wa ngozi walitangaza nafasi za kazi nami ni mmoja wa walioomba nafasi hizo ambazo deadline ilikuwa tar 10 january,sasa naona kimya...
Dear ColleaguesThe Board of Zanzibar School of Health invites applications for thefulltime/ part time.Post ofTutor/Lecturer to train cadres of 2 years Couseling PsychologyDIPLOMA. Minimum...
TRUST GOD HEALTH SERVICES(TGHS), a Dispensary located at Bulyanhulu Gold Mine Site, is currently and urgently looking to fill its 2 Posts: A CLINICAL OFFICER and A NURSE MIDWIFE. Interested and...
hawa maagent nawasikia sana ila sina idea nao sana hebu nifafanulieni kidogo maana nasikia wanaweza kukusaidia kupata kazi ila utawalipa je nikweli habari hizo nijuzeni jamani
Wanabodi heshima mbele,
Sanjari na zoezi zima la kutafuta ajira ni muhimu pia kwa sisi watafuta ajira kuwa na taarifa sahihi kuhusu kipato-tegemewa kuhusiana na ajira tunazoziomba. Kwa minajili...
NDUGU WANA JF POLENI NA MISHEMISHE, NAOMBA MWENYE INFORMATION YA MAHALI NINAPOWEZA PATA KUFUNDISHA MATHEMATICS, NINA B.A. IN ECONDOMICS AND STATISTICS, LAKINI NAPENDA KUW ATEACHER, EMAIL YANGU...
Wadau salamu
anahitajika haraka mtaalamu wa programming anayeweza kuunganisha database yenye wafanyakazi 1000 wanaotambulika kwa unique namba kila mmoja, kwa lengo la kuwatumia sms kila mwezi, sms...
Parliamentary Reform & Transitional Expert at UN Development Programme in Kenya 31-01-2012
Consultant for Baseline Study for the DFID Funded AES Programme at Save the Children UK in South Sudan...
Excuse me mdau!! Mimi in fresh teacher sasa, sijui hawa jamaa (Halimashauri husika) wanatakiwa watoe pesa kiasi gani kwa ajili ya mwajiliwa mpya kujikimu. maana nimeuliza kwa baathi naombiwa...