Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Hifadhi ya taifa ya mikumi ilitangaza nafasi kadhaa za askari wanyama pori kwa wenyeji wa mikumi na vijiji vinavyo izunguka hifadhi hiyo kama ujirani mwema kupitia kwa afisa mtendaji wa kijiji...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau naomba mawazo yenu hapa nyumbani nilikuwa na wadogo zangu waliokuwa wanakaa na huyu mwanaetu wa miaka 5 aliyeanza shule sasa na kusaidia kazi za nyumbani lakini kwa sasa wameenda kusoma...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
hey jf team mmbrs! naomba kuuliza hivi kwa mwl anaeanza kazi kama mimi (degree holder) basic na take home ni shiling ngapi kwa tz ili nianze namna ya kujipanga mapema! ASANTE! KWA MSAADA WAKO!!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni kweli wengi tunatafuta kazi, lakini ni muhimu kujua kama kweli tunazihitaji kazi hizo, vinginevyo kazi hizo zitageuka KUWA LAANA kwetu! Nina ndugu yangu ambaye alikaa muda mrefu bila kazi...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
serikali kila siku inalalamika uhaba wa walimu, mi mtazamo wangu watu wengi tumemaliza vyuo na tuko mtaani tunasota hatuna kazi. Kwa nini serikali isifikiri kutoa training fupi kwa graduate wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
mara nyingi huwa napata hili wazo, watu wengi hasa watoto wa wakulima tusiokuwa na marefa tumemaliza vyuo bila kupata kazi, na serikali kila siku wanalia uhaba wa walimu, kwa nini wasitangaze basi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kabla ya yote mimi ni mdau mpya kwenye JF,NAWAPENI HI WADAU WOTE WA JF Mimi ni dentist,naombeni wadau wote mnipe mchongo inakuaje coz kuna wadau ambao wanauelewa mkubwa kuhusiana na masuala...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wakuu nimekuwa nikiwatafutia kazi jamaa zangu kupitia nafasi za kazi zinazotangazwa humu JF. Lakini mara nyingi nimeshindwa kuelewa baadhi ya kazi zinazotangazwa humu hasa kutoka Zoom Tanzania...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
WASWAHILI HUSEMA kizuri kula na nduguyo, kuna hii project inaitwa wazzub, wengine mtakuwa mmeshaisikia, hawa watu wanatengeneza content management system ambayo itasheheni vitu na websites (mfano...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanatakiwa haraka sana watu wenye sifa zilizotajwa kwenye mada hapo juu. Maelezo ya ziada ni: - Awe amemaliza chuo au college katika fani hizo. - Awe mkazi wa IRINGA, MBEYA, MTWARA na MWANZA - Si...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf, naombeni sana mwenye kuelewa au mwenye huo waraka anisadie sana nahitaji sana kinachozungumziwa ndani ya huo waraka!! Ni muhimu sana naombeni msaada wenu wadau.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hivi wizara ya afya inampango wa kuajiri wahitimu wake au ndio changa la macho mwenye taarifa maana hadi sasa yametoka majina 1166 au ndio wanatosha hao
0 Reactions
2 Replies
2K Views
majina ya waliopata ajira: research officer ll na agro-officer ll yalishatoka? kama bado aliyekuwa na information atujuze pls.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jambo! Wana JF, heshima kwenu! Napenda kupata details za hii kampuni ya Uniliver (I know its a multinational company) especially range ya salary zao na mabenefits mengine? Pia mazingira ya kazi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sina hakika kama nimekosea ila nilikuwa nafanya kazi ya ku-shortlist watu nikagundua madhaifu mengi ambayo naona sii vibaya nikayasema. 1.KUTOFUATA MAELEKEZO NA REQUIRED QUALIFICATIONS. Ni...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
kwa wale waliopeleka application zao NIC nasikia zilikua zinawekwa ktk dustbin,ivyo inakuaje mtu amesoma zaidi ya miaka kumi shule alafu chet chake anakitupa ktk dustbin kama akijui alaf anasema...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
1.Cananon 2.Loquociiso transibusthiaon 3.Sea shell is sea shole liiuqusisionox 3.No Thanks i don't want to have sex. Naomba mnisadie na maneno mengine.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana JF , mimi ni kati ya watu waliofanya interview ya VETA na delloite . ila hadi sasa naona kimya.vipi hawa watu washaita?:help:
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Serikali imetoa ajira kibao za kilimo, ualimu na bado manesi. Lkini ukiangalia kwa undani utakuta vigezo vingi sana vimeangaliwa kwenye kutoa hizi ajira. Watu wengi sana wameachwa. Mfano mdogo...
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Kwa mwl shahada aliye tayar naomba tubadilishane kituo ie.Muleba District atapangiwa shule nzuri tu ya A level mazingira ni safi huduma zote za jamii zipo!..ni PM
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…