JOB ADVERT
The mission of OMASI (Orkonerei Social Maasai Initiative) is to reduce poverty among the Maasai by setting up commercial businesses that will eventually become self-managing and...
Ndugu zangu wana jf,inasikitisha sana serikali inapotangaza nafasi za ajira halafu wanaweka experience ya miaka 3 hivi sisi graduate hiyo experience tutaitoa wapi?mfano nafasi za TANAPA...
Mtu anayehitaji kazi ya Office administrator elimu kuanzia diploma na kuendelea na mwenye uzoefu wa mwaka mmoja na kuendelea,atume cv yake kwenye email ifuatayo:jobatjobs@gmail.com.
good lucky.
Wana jf me nimepangiwa na ministry of education DSM halmashauri ya kinondoni wazee nipeni bac direction ya kufika hapo maana dar me mgeni japo c saana.
Thanks!
Habari za jioni wadau.
Kama kichwa cha bandiko kinavyojieleza hapo juu, tunatafuta nafasi tupu ya kazi (preferably in Arusha) kwa ajili ya mdogo wetu aliyemaliza Kozi yake ya Diploma ya Uhazili...
Habari zenu wakuu!! natumai mpo safi mkienedelea na majukumu ya kila siku.mimi ni mtanzania mwenzenu ambaye nimekuw a nikitafuta kazi ya radio presenter katika kituo chochote Tanzania.sina cheti...
Wana JF hivi kipi ni bora zaidi kufanya kazi kwenye kampuni ndogo(Isiyojulikana) inayolipa vizuri au kufanya kazi kwenye kampuni kubwa(inayojulikana) inayolipa vibaya?Kuna jamaa yangu mmoja...
wana jamvi naombeni msaada kwa hili jambo maana am i n confusion
hivi hizi nafasi za kazi ambazo wanatoa instruction "if interested please send your cv to the email link above" ina maanisha una...
Wanahitajika graduates in any discipline...kazi inahusu kufanya survey na kukusanya data..wawe available full time pia wawe wanaishi babati..ni kazi ya 2-3 weeks...pm me your name and number
Wana jf habarini za kazi, ninaomba msaada wenu, kuna advert ya kazi nimeisoma, hao wenye kazi ni NGO wanatafuta mhasibu ila pamoja na application letter, cv, vyeti wanataka COVERING LETTER ueleze...
This unpaid internship is a great opportunity for someone wishing to combine travel to Zanzibar with gaining editorial and online work experience. Mambo is an online travel magazine for the...
Habari wadau,
Anahitajika kwa Haraka msichana wa kufanya kazi Stationery na Internet Cafe
Masharti:
Awe anakaa Arusha (mkazi wa Sakina au jirani na maeneo ya Sakina coz ofisi ipo Sakina)
Awe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.