Haya wadau jaribuni za UN.
watanzania bado ni wachache sana kwenye UN and few Tanzanians who work for the UN have good reputation. Mara nyingine huwa some UN organizations zinatoa priorities kwa...
habari zenu jamani, pls aliye na contact za naibu waziri wa kazi makongoro mahanga ani PM, NASIKIA YUPO ARUSHA NAMI NIPO ARUSHA LAKINI KWENYE HII KAMPUNI NINAYOFANYA INTERNSHIP KUNA UBAGUZI WA...
Ndugu qwenzangu wa Jamvini, naomba wale wote waliowahi pata kazi kupitia kuziona humu Jamvini wadhibitishe kwa maneno yao na ni wapi huko ili watu tusiwe tunasumbuka kusambaza CV zetu bila mafanikio.
Usaili utafanyika mwezi september kwa mujibu wa tarifa za ndani za wasemaji wa majeshi hayo. Tarifa hzo za kiinteligencia zinasema wameshindwa kufanya usaili mapema mwezi wa kwanza na pili...
Gedius Rwiza
SERIKALI inatarajia kutoa tamko
kuhusu ajira za walimu 25,015
waliohitimu mafunzo ya ngazi
mbalimbali katika vyuo vya
ualimu nchini wiki ijayo.
Kati ya hao, walimu wa
sekondari...
Wadau wa forum,naomba kujuzwa kama kuna mwenye taarifa juu ya shirika la T-MARC walitoa nafasi za kazi za muda mfupi wa miezi 3,naomba kufahamishwa kuwa wamefikia wapi ktk mchakato wao.
A.aleikum wana JF, Then nitoe salam zangu za pole kwa kuondokewa na mpendwa wetu MP REGIA(R.I.P)
Nataka kuuliza hivi intake ya uhamiaji wanachukua lini? Na je kwa mtu mwenye degree eti...
Wakuu naomba mnielekeze ilipo civil aviation training centre terminal one.
Je nashukia kituo gani nikiwa naenda?
Nimeitwa kwa aptitude test.
Barua nilichukua pale banana aviation centre lakini...
wabongo bwana wamezidi kuchakachua,
kutokana na watumiaji wa mawasiliano kwa njia ya mtandao kuongezeka, na matumiaji wengi ni wasomi hasa wale waliomaliza vyuo na wanatafuta kazi, sasa imekuwa...
Kuna rafiki yangu aliacha kazi serikalini tangu mwezi wa 5 huko kigoma ni clinical officer afya sasa akaja dar kufanya kazi kule wakafunga mshahara ila kafanya application upya na kapata mbeya je...
Hello wadau wa JF..!
Bila kutarajia kama inawezekana leo nimepigiwa simu toka secretarieti ya ajira kuwa nimeitwa kwenye usaili wiki ijayoi. Kwa mwenye uzoefu na jamaa hawa au usaili kwa ujumla...
Mi naitwa Erick natafuta kazi nimesomea diploma in computing and information technology na ndo nimemaliza mwaka jana mwishon,nilibatika kupata experiance kwenye sehemu kadhaa.nimeambatanisha CV...
Tafadhali guyz natafuta nafasi ya kujitolea katika fani ya information technology ili kukuza kipaji katika fani, level yangu ya fani ni diploma . Tafadhali kama yeyote atakuwa tayari tuwasiliane...
Jamani pipo wana jf...ninawa penda sana coz its thru u guys nimepata kazi ninayoifanya ila sasa nahitaji msaada wenu kwa ajili ya kazi nyingine.I can do news casting/ anchoring...na i prefer on...
Nilipata kuwepo katika ofisi moja ya serikali katika maongezi ya apa na pale mtu mmoja akuliza swali
TANZANIA INAJENGWA NA NANI?
baada ya kuuliza kila mmoja alikuwa akisema yake wengine walisema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.