Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Ulimwengu wa Internet unabadilika kila siku....wapo wanaoneemeka na wapo mazuzu wanaoibiwa kwenye mitandao kutokana na uchanga wao kwenye mambo ya Internet. Hivi sasa kuna kitu imeanzishwa; jaribu...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
JOB ADVERT The mission of OMASI (Orkonerei Social Maasai Initiative) is to reduce poverty among the Maasai by setting up commercial businesses that will eventually become self-managing and...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
hizi recruitment nchini ni chanzo cha ajira au ndo kikwazo cha vijana kukosa ajira.huku kujuana si kuna athiri sana hawa watoto wa wakulima ambao hawana watu wa ngazi za juu serikalini pamoja na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi oral interview kwaajili ya office attendant ilifanyika UDOM? Au walimaliza kada zote?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
We are conducting asurvey requiring data collection from retail outlets. It is expected to take from two to three weeks, covering the following general regions: Lake Zone (e.g. Mara, Kagera...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
salaam, ni matumaini yangu jf ni collection ya kila kitu, jamani kama kuna mtu anaweza kuniunganishia nikapata nafasi katika idara ya immigration nitashukuru milele, mi nipo arusha mjini elimu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
natafuta mtaalamu wa kutengeneza keki, donut, maandazi. mwajiri ni bekari binafsi ya saizi ya kazi ambayo kwa muda mrefu imekuwa ikitengenea mikate peke yake na sasa inahitaji kujikita pia kwenye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jaman naomba mnisaidie kupata sehem ya kufanya field ya IT diploma level i hv tried many office but til now no feedback. plz anyone naomba anisaidie ili niweze kufanikisha tatizo hili. contact me...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa yoyote anayefahamu kazi hiyo inapopatikana anitaarifu muda wowote nipo tayari!
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Ninaishi Tank bovu mbezi Beach mawasiliano akipatikana 0714 794842. ila awe mwaminifu.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu wana jf..poleni kwa msiba wa dada yetu regia naombeni kujuzwa kama kuna updates zozote za oxfam gb- walitangaza kazi nyingi dedline ilikuwa december 31, kama kuna yeyote anaefahamu naomba...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
guys have you heard about this? its easier to make money!! just join here at WAZZUB - The Power of "We"! http://signup.wazzub.info/?lrRef=8bcf9 WAZZUB, the world's first PROFIT SHARING...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nahitaji mtu atakayeweza design nyumba bedrooms 4 kwenye plot ya 25*38 Dodoma. Mwenye uwezo tafadhali wasiliana nami.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wapendwa wana JF, Kama mtakumbuka NM-Institute of Science and Technology walimwaga nafasi nyingi sana za kazi na deadline yao ilikuwa 31st dec, 2011 . Plse naomba kama kuna mtu yeyote yule ambaye...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Naomba kumnukuu naibu waziri wa elimu tz, Mhesh Philip Murugo. "Ajira za walimu wapya wa shule za msing na sekondari zitakua tayari na zitatolewa mwishon mwa mwezi huu wa januari" Mwisho wa...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Jamani kuna mtu kaona kazi za MSD?
0 Reactions
8 Replies
5K Views
SENIOR RESEARCHER (2 Posts) Objective and scope This is a senior technical and professional role within the diverse areas of social and economic research. The overall objective of the role is to...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Nina madogo wawili wanasoma shule ya msingi,ningependa nipate mwalimu wa shule ya msingi au sekondari anayeweza kuwafundishia nyumbani baada ya muda wa kazi.Masomo yanayohitajika...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Shule ya Ambassodor zamani ikijulikana kama Happy Skillful ya Tabata Segerea wametangaza nafasi hyo ya kazi kama inavyojieleza kwenye heading,kama una sifa tafadhali leta barua yako ya maombi,CV's...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom