Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

We are looking for someone with good knowledge on either CakePHP or Yii PHP. We have one month project, if you are the right person and interested on this please contact us through info@softlink.co.tz
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salaamu zenu wadau! Nimepata barua kutoka watu wanajiita EUROPEAN & AFRICAN DEVELOPMENT FOUNDATION (INC) (East Africa Ltd), kwa kazi niliyo apply hapa Dodoma. Nitaifupisha kama ifuatavyo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana JF hope wote muu wazima, nimepewa hili ombi na ndugu yangu amemaliza chuo majuzi hapa sasa anatafuta kazi yeye ame specialize kwenye MSc Finance & accounting. anaomba msaada popote aweze...
0 Reactions
47 Replies
10K Views
Finance Manager at Surface and Marine Transport Regulatory Authority(SUMATRA) in Dar Es Salaam Performance Auditor II (Information Systems Auditor) at Surface and Marine Transport Regulatory...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
A qualified quantity surveyor is available for full or part time job in construction firms
0 Reactions
0 Replies
975 Views
Habari wana JF naomba kujua viwango vya mishahara katika salary scales zifuatazo: {1}TGS A {2}TGS B {3}TGS C {4}TGS D Angalau izo tu .Naomba anayejua aninidadavulie plz
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wadau nimeitwa oral interview UDOM, kwa upande wa Lab Engineer, kwa waliofanya ile ya writing wawe karibu na simu zao. Pia kwa anayejua kuhusu hii nafasi na benefit zake tafadhali anijuze.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wa jf km m2 anainfomation na kazi za namna hyo tupeane tarifa to phone # 0757922293. Elimu yangu ni km ifuatavyo degree moja ya udom ambayo ukiconvert ni sawa na certificate yyte vyuo vingine vya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani wadau nauliza kama oral interview kcmc imefanyika maana walitoa nafasi za kazi deadline 31.11.11 nashangaa mpaka sasa kimya au walishafanya mtujuze maana udom nasikia tayari upande wa afya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wameita watu kwenye usaili wa kazi ambazo walikuwa wametangaza hapa wilaya Nzega mkoani Tabora. Lakn cha ajabu wametoa namba ya voda ambayo wanataka walushiwe mpesa ya shiling elfu kumi eti kwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
HABARI ZENU! wadau mimi ni graduate wa mwaka huu, shahada ya environment, nimepata ajira ya kufundisha na wananilipa laki 450, pamoja na usafiri wa sehemu ninayoishi hapa moshi, na pia nimeitwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau wanaitajika watu wenye uzoefu usiopungua 3 years katika nafasi za hapo juu yoyote mwenye sifa atume CV kwa kulwatz@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu yeyote anayeweza kunisaidia niweze kupata mawasiliano na UNHCR kigoma na ngara nitashukuru,nina certificate na diploma ya law,naskia kule zina soko sana,heri ya mwaka mpya wandugu
0 Reactions
0 Replies
2K Views
RE: VACANCY ANNOUNCEMENT Position1: Chief Manager-Credit Education/Qualification: Degree in Banking Position1: Sme Manager Education/Qualification: Holder of B. Com/BBA Degree, BA Economics...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Natafuta kazi ya ufundi umeme wa majumbani/viwandani na kwenye minala ya simu.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kama unasubiri kazi ya serikali za aina yeyote ile kama ualimu kilimo na afya tafuta altenative mapema kwani serikali hiko hoi taarifa zaidi soma mwanahalisi la j5 wiki hii mi nimeanza wewe je?
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Mpelelezi wa kujitegemea anahitajika sifa *awe mkazi wa dsm *awe na uwezo mkubwa wa kufikiria(creative) na kufanya maamuzi ya haraka *kufahamu kompyuta, kiingereza, police au sheria ni sifa za...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Natafuta kazi ya Uhifadhi, M & E or Environmental officer. Am a graduate of Bachelor of science in Wildlife science and conservation. Computer literacy (Ms word and excel).......... JF members I...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nasoma electrical power engineering, natafuta kazi ya part time maeneo ya dar es salaam
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu na masikini wenzangu ambao hatuna mtu tunayemjua katika kipindi hiki kigumu cha kupata kazi ili atusaidie kupata kazi tuna wakati mgumu sana wa kufanikiwa. Mimi ni mmoja ya watu...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…