Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

kwa wale wote mnaokaa daslam makampuni ya kuagiza mafuta yaliyoko kigamboni uwa yana ajira zisizotangazwa so kama huna kazi submit cv yako kwenye maofisi yao kigamboni kazi huwa hazikosekan na...
1 Reactions
25 Replies
7K Views
naomba msaada kwa yeyote mwenye ufaamu kuusu ili plz. TGSS 12, NI SAWA NA SHILINGI NGAPI NGAZI YA MUSHAARA WA SERIKALI?
0 Reactions
29 Replies
10K Views
daily newz hawatoi zile vacancy wanazotangaza kupitia gazeti lao online, labda ni site gani ambayo naweza ona kazi zitangazwazo kupitia daily newzz... kwa mfano kazi za the guardian nazipata...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Vehicle & Services Foreman at African Barrick Gold in Shinyanga Process Foreman at African Barrick Gold in Shinyanga Senior Process Geologist - Exploration at African Barrick Gold in Shinyanga...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Imetokea kwa ofisi flani...post 1 watu 1000, wamechambua wakapatikana watu 20, kamati ikadai inataka watu 15 tu kwa interview, wakaingia facebook, personal details kwa wote waliojiachia...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
WANA JF NAONA JAMAA TRA WAMEANZA KUITA INTERVIEW YA PILI YA ORAL ITAKAYOANZA FANYIKA KESHO, KWA WALE AMBAO HAWAJAPIGIWA SIMU WASUBIRIE.:A S-coffee:
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Hawa jamaa walitangaza nafasi fulani za maoperator na matechnician na duration ilikuwa one week mpaka sasa hawajaita watu kwenye interview mwenye data atumwagie.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
kwa yeyote yule anajejua taarifa za kujiunga na jeshi kwa wale wenye proffesionals atujuze maana nasikia waliokwenda wamemaliza course.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za saizi Natafuta kazi za ndani mim ni msichana mwemye umri wa miaka 23 nimemaliza form four mwaka 2004 natafuta kazi za ndani awe ni mkazi wa dar awe tayari kunilipa 70-80 kwa mwezi si...
3 Reactions
79 Replies
11K Views
Jaman kuna mtu yeyote ameitwa ppf sacos kwny interview nafasi ya acountant? Plzz any news,
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ofisini kwetu wanaitaji kuajiri accountant mmoja,awe na experience ya mwaka mmoja hadi miwili,duty location ni dar,awe na degree au advanced diploma in accountancy.awe na typing speed...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Dears mwenye news zozote kuhusu hawa watu kama walishaajiri wahasibu, maana nimefanya interview hadi leo naona kimya...nisaidieni jaman!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Am hlw guyz,am new n dic bt halla 2 al ,am jst lukn 4r a job 2 du co f any1 has heard of smplc lukn 4r customer crz n companiez,telecommunication,banks plz contanct me n ma number 0718211364 dat...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Jamani mliokwenda usahili TRA vipi zilikuwa ni nafasi zote walizotangaza au some of them?.Manake nashindwa kuelewa.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wana JF nawasalimu tena poleni na harakati za kuijanga nchi yetu ijapokuwa mafisadi wanaibomoa. Baada ya hayo naomba msaada wa location ya ofisi za Save the children Tanzania nisaidieni
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani ndugu zngu naomba mnisaidie,na certificate ya social work,na bado naendelea na masomo mwk wa2 ningefurahi kufanya kz hk na soma.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hi
Jaman leo hakuna jipya?turushieni matangazo ya kazi watoto wa maskin
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Inanichanganya sana hebu wana JF NIFAFANULIEN mwajiri anapotangaza na kutoa sharti hilo ana maana gani?
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wadau, kama kuna ajira zinazohusiana na computer network, Data base Administrator na Computer programming naomba unijulishe. Kozi hizo zote nimesoma UCC- Dar es salaam . Computer network under...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
AFRICAN BARRICK GOLD Position: Fitter Mechanics Education/Qualification: Quality communication: pay attention to communication from other; keep clear...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…