Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Talent for Governance enables ambitious, young civil servants working for local governments in developing and transitional countries to follow an international Talentprogramme in the Netherlands...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani wana jf naomba kujua kama TCAA wameshaita watu kwenye interview ya training zile nafasi za aircraft traffic control.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu najiandaa kufanya negotiation na barrick kwenye mojawapo ya migodi yao, naomba anayefahamu kuhusu masilahi yao kama vile mshahara, na allowances nyingine kwa mwezi kwa level ya managers...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Naombeni msaada wenu nipate ajira nimesomea diploma ya procurement and logistics management naombeni msaada wenu wana jf email yangu ni hii mkwazu_nichedu@yahoo.com.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau leo nimepigiwa simu na TRA kuwa interview itakuwa tar 21/11 pale msimbazi centre na pia wametuma barua kwenye box. kama umeomba hujapigiwa kachek kwenye box lako
2 Reactions
44 Replies
15K Views
hello.! jamani wana Jamii wenzangu mi naomba niulize kitu, Hivi mtu unavoomba kazi si unataka Kazi then at the end wakulipe Mshahara? IN SHORT NI KWAMBA TUNAOMBA KAZI ILI TUPATE HELA. sasa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
nimesoma human resource management bt am ready to do kazi yoyote ile km ikipatikana
0 Reactions
5 Replies
2K Views
RF Engineer Reports to: CTO Department: Technical Summary of Job Description * Responsible for works in projects (expansions, new services, etc.) * Responsible for verification of...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hivi jamani wana jf uki2mia hizi kutafutia ajira ni nzuri au vp maana roka nianze kutumia cjapata feedback jamani!
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Writers at AkiliAfrica in Nairobi Technical Sales Specialist at AkiliAfrica in Nairobi Sales Executives at AkiliAfrica in Nairobi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Natafuta kazi ya forest assistant nina Diploma satificati in forest
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wadau huwa nikivaa hayo mavazi huwa natoka chicha sana, je naweza kwenda kwenye interview nikiwa nimevaa hivyo? asanteni. na je shati ya draft naweza kuvaa kwenye interview? ideally ni mavazi...
0 Reactions
28 Replies
8K Views
Yoyote anaehitaji Housegirl, Houseboy tafadhali ni PM nikupatie.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
wana jf, natafta kazi tajwa hapo juu, ninao uzoefu wa usimamizi wa miradi na afisa mikopo kwa miaka miwili, elimu yangu ni advance diploma ya uhasibu, ninao uwezo wa kuongea kiswahili na...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Jaman vipi watu waliofanya interviw udom ya kuandika vip kuna watu wameitwa intrview ya pili.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
habari wanaJF,ninapenda kuwataaarifu kwa wale wanaohitaji data collection kwa ajili ya research au shughuli nyingine yoyote,i am who u are looking for,pia nafanya data analysis kwa kutumia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
VLIR-UOS awards scholarships to students from developing countries to follow a training or master programme at a Dutch speaking university or university college in Belgium. The eligible training...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
vp hawa jamaa washaita watu? Mana ile interview ilivojaza raia! Duu!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
HV kazi za kujiajiri na kuajiriwa ipi bora?
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Ndugu Zangu! Waliofanya Interview NIMR May na June wameitwa kuanza kazi au laah?Naomba mnijuze!
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…