Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Natafuta kazi ya udereva nina lesen ya class c nimesoma katika chuo cha national institute of transport(NIT) and also i have secodary education certificate
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Chanzo kikuu cha ukosefu wa ajira hapa nchini ni serikali yetu. Kwa mfano mimi mwaka jana nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni ya wachina, nilipofika pale nilishangaa sana kukuta mpishi ni mchina...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Mi naona tatizo ni ukosefu mkubwa wa ajira na uongozi mbovu wa chuo kuita watu wote tulioapplly. Tufanye nini basi: kwa wale wenye nauli zao waende huko kwa tusionazo kukopa kwa ajiri hii...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
The Architects & Quantity Surveyors Registration Board. Date Listed: 14/10/2011 Area: Dar Es Salaam Application Deadline: 02/11/2011 Qualifications • Holder of a basic...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
hivi hizi ngos kama Egpaf, path, pathfinders...huwa wanatoa mshahara bei gani?? kwa daktari??working as project coordinator??
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani mbona kimya huko NHIF, mwenye taarifa anijuze km walishaita au bado niendelee kuishi kwa matumaini.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hallo brothers & sisters how do you do? Indeed I am so happy to be in this house, the home of great thinkers, your motivations,jokes etc. keeps my mind more competence in this world. Frankly...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nijulisheni nami NHIF watakapo itwa nasuburia. w member. am also waiting NHIF to be called. please inform when your hear. na kama yapo men
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimepigiwa simu na watu wa recruitment service wapo mwenge karibu na sheli moja vipi.Eti wameniambia nipeleke cv zangu jumatatu.Najiuliza wameipata wapi namba yangu?wanataka kuniuliza nini?maana...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Haya ndio baadhi ya majina niliyoweza kuyapata wakuu, jaribu kucheki tu hii ni kwajili ya wanaotumia simu, kwa njyie ambao mpo kwenye net waweza yacheki kwa PDF kwenye thread inayosema Interview...
0 Reactions
18 Replies
8K Views
Wapendwa wa Jamii Forums, naomba mnifahamishe kama wale waliomba nafasi za kazi za kufundisha UDOM yaani kazi za TUTORIAL ASSISTANTS, LECTURERS, ASSOCIATE PROFESSORS NA PROFESSORS, je...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
niambieni wanajamii ni kweli watakua siliazi ukilinganisha na idadi ya watu walioomba
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Je kuna tofauti gani kati ya hao waliotajwa hapo juu. Naomba kufahamishwa.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Dear Friends, There is a significant difference in wages for different category of workers. Unskilled workers Skilled workers Semi Skilled workers. My query is how these categories...
0 Reactions
2 Replies
35K Views
Wadau wa jf naomba sana siku zitakapotangazwa nafasi za kujiunga JWTZ atakayepata data anijuze. Mm niko vjjn sana hvyo siwezi pata magazeti, na access ya internet ni ya kuazima tena kwa shida sana.
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Waana jf naomba ufafanuzi kwa wale wanaofahamu kuhusu hili suala la kuundwa kwa idara mpya ndani ya idara ya afya iliyokuwa chini ya DMOs.Nani anafahamu hiyo idara itaitwaje na itakuwa na vitengo...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Dear Friends, There is significant variations of wages for different category of workers. Unskilled workers Skilled workers Semi Skilled workers. Mt query is how these categories are...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jf naomba msaada wenu natafuta kazi hasa ya serikalini kwa nafasi ya community development officer.mwenye kujua zaidi au ana hints za kazi hiyo naomba anisaidie.Nitashukuru sana
1 Reactions
12 Replies
3K Views
nahitaji mshichana wa kaz anisaidie kaz ndogondogo hapa geto nikitoka collage nikute shwarii.
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…