Ndugu, naomba mchango wenu.
Hivi kwa mwajiri kuchelewesha mishahara ya wafanyakazi kwa zaidi ya siku 50 mpaka 90 akisema pesa ya kulipa mishahara haijapatikana (na ni kweli haipo,sababu kampuni...
jamani naomba kama mnafahamu popote panapohusika na mambo ya uhifadhi wa mazingira mnisaidie nimetafuta lakini bado wapendwa it's almost a year now. najua environmental impact assessment, yn am...
Work from home on party time and be the boss of your self. All you need is a computer only. follow the link below to apply
http://www.dataentryjobs.us/47052.html
Leo tar 20 sept. 2011 zoom.com wamepost tangazo la "40 temporary employees" toka NHIF na wamesema source ni Daily News la tar 20. Cha ajabu nimenunua hilo gazeti na hilo tangazo halipo! Sitaki...
Syali Printers & Stationers.
Marketing Assistant needed Immediately
Experience
He/she support to have at least 2 years experience in the field especially in printing field they will...
Jf members nahitaji mchango wa mawazo yenu katika hili;
nna rafiki yangu ambaye alimaliza elimu ya msingi muda mrefu na baada ya hapo akajikita katika kazi za gereji ni mda mrefu sasa na hata...
hivi jamani wana jamii kuna anayejua details za kazi za wizara mana kuna tetesi huku mitaani kuwa mwaka huu watatoa ajira kwa wote wenye digrii waliomaliza vyuo vya kilimo kama wafanyavyo kwa wale...
Wewe ambaye unatafuta kazi kwa mudda mrefu sasa jibu lako limepatikana, vyeti unavyo na sifa zote unazo ila unaandamwa na roho ya kukataliwa. jibu lako ni yesu... NJOOO UFANYIWE MAOMBI NDUGU YANGU...
Tanzania imeongeza mikoa mipya minne kwenye orodha ya mikoa yake ambayo ni
Simiyu,Geita,Katavi na Njombe.Kuongezwa kwa mikoa hii inamaana kuwa hapa pataitajika
mkuu wa mkoaa ,gari yake ,walinzi...
Jamani nna swali dogo la ufahamu kwa manufaa ya wengi tunaotafuta ajira pindi zinapotoka,hivi uandishi wa CV unatakiwa uwe na vipengele gani vya msingi?maana naamini wengi tunaandika CV ila...
POST AM LOOKING FOR: DATABASE ADMINISTRATOR
Platforms: ORACLE/ SQL SERVER
LEVEL: INTERMEDIATE
Nina degree ya Computer Science na nina experience ya mwaka mmoja ktk hii fani. Pia ninauzoefu na...
Ndugu wana JF Neema ya Bwana iwe nanyi nyote!
Ninaomba kupata taarifa ni kwa namna gani ninaweza kupata sehemu ya kujitolea ili niweze kuongeza uzoefu zaidi na kuimarisha CV yangu kwani ndio...