Natafuta kazi ya mda mimi ni msichana niliyeitimu kidato cha sita na nilipata division two nina umri wa miaka 23 natafuta kazi yoyote as a temple.Nitafurahi kupata nafasi
Jobs at Nestlé Global(El-Salvador)
Kampuni ya utengenezaji wa kahawa duniani NESTLEInatangaza nafasi za kazi mbali mbali kwa watanzania wote wanaopenda kufanya kazi katika nchi ya...
We find by understanding fully the effect or result that we require, we can then move quickly to adjust our behavior to facilitate that end result. Bare with me, this article is about stay at...
WanaJF
Mitsubishi Fuso 10 ton (tipper) linauzwa. Lina hali nzuri sana! Ni wiki moja tangu limevalishwa tairi 10 mpya. Ni Fuso ya Dec 1994 na limetembea Km 78,201. Liliagizwa toka Japan na...
>Habari za kazi ndugu,pole sana na majukumu ya kila siku.Ndugu mi nina shida ambayo imekuwa inaninyima usingizi kila siku.Nina wadogo wangu wawili ambao ni mapacha wote wako form four boarding...
Wakuu, kwa wale walioomba kazi sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma.. majina yametolewa kwa wale wanaotakiwa kufanya usaili tarehe 20/9/2011. Fungua hapa chini uone kama umebahatika...
NI TAHADHARI TU KWA WANAOHITAJI DADA WA KAZI ZA NYUMBANI Wewe waangalie tu HUYU ANAJiita majina bandia na ni mwizi kuna msichana mmoja anajiita jenifer ana pua ndefu kidogo anaongea kichaga na...
mtu unashauriwa kukaa kwenye kazi moja kwa mda gani mpaka hapo utakavyoomba kazi mpya kwa company ingine?
People say u shud stay for at least a year,otherwise CV haitachukuliwa seriously kama una...
samahani wadau naomba kuuliza hivi ili kupata exemption TRA ya magari ni lazima gari unaloombea liwe la mwaka 2002 na kuendelea, naomba msaada jamani kwani kuna utata mwingi kwa watu ninaowauliza...
Eti huku mtaani kuna tetesi kwamba wizara ya fedha ina kawaida ya kupendelea graduates walio hitimu kwenye vyuo vyake vya IFM,IAA na TIA katika kuwapatia ajira kwenye mashirika yalyo chini yake,je...
Habari za kazi ndugu,pole sana na majukumu ya kila siku.Ndugu mi nina shida ambayo imekuwa inaninyima usingizi kila siku.Nina wadogo wangu wawili ambao ni mapacha wote wako form four boarding...