Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Safisha mikono yako kabla ya kuvaa barakoa, vilevile kabla na baada ya kuivua na baada ya kuigusa wakati wowote
Ukivaa barakoa hakikisha inafunika pua yako, mdomo na kidevu
Unapovua barakoa...
Unapopanga kukutana ana kwa ana na mtu ambaye mmefahamiana kupitia mtandao ni vyema ukachukua tahadhari kwa kuwa sio kila mtu ni mkweli kwa namna anavyojitamulisha kwako, umri, jinsia, na nia yake...
KANUNI ZA UTOAJI NA USIMAMIZI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU (MAREKEBISHO) ZA MWAKA 2021
Kufungu 6A (1)
Mtu mwenye ulemavu atakuwa na sifa ya kupata mkopo...
Baada ya majanga makubwa ya asili kama tetemeko la ardhi au misiba ya watu wanaofahamika, matapeli hutumia nafasi hiyo kujiingizia kipato
Wanaanzisha tovuti na akaunti bandia za michango, na...
Kuwa na shaka juu ya fursa za kazi, haswa zile zinazotoa ahadi ya mapato ya uhakika au zinazohitaji ulipie kabla ya kuanza.
Ikiwa kazi hiyo inajumuisha kutengeneza au kuuza aina fulani ya bidhaa...
1: Wafundishe Watoto kuhusu #COVID19, na namna inavyosambaa pamoja na madhara yake. Waeleze bila ya kuwatisha
2: Wafundishe kunawa mikono yao kwa Maji Tiririka kwa kutumia sabuni au "Sanitizer"...
Mataifa mengi ya Ulaya yameanza kuwashauri Raia wake kuvaa barakoa mbili ili kuongeza umadhubuti wa kukulinda dhidi ya maambukizi ya #CoronaVirus
Je, ni Wakati gani wa kuvaa barakoa mbili...
Aliyeugua na kupona ana nafasi nzuri zaidi ya kuwaelimisha wengine juu ya dalili za ugonjwa na namna ya kujikinga na kupata nafuu haraka
Kwa mujibu wa tafiti zilizofanyika, kuna uwezekano wa...
Matapeli huko mtandaoni hutengeneza wasifu bandia kwenye tovuti halali za kutafuta wachumba. Wanatumia profaili hizi kujaribu kuingia kwenye uhusiano na mtu ili waweze kupata pesa zake na maelezo...
Kuhakikisha ngozi ya mtoto inakuwa imegusana na ngozi ya mama ( skin to skin contact/ kangaroo mother care). Hapa mama anashauriwa kumbeba mtoto kwa kumgusisha katk ngozi ya mama uda mwingi ili...
Namna ya Kumueleza mtoto:
Ni muhimu mzazi au mlezi kwa kushirikiana na mtoa huduma kuandaa mpango wa namna ya kumueleza mtoto hali yake ya maambukizi ya VVU, kabla ya mtoto huyo kupata habari...
Taarifa zinazoonesha akiba yako ya pesa si vyema kuziweka mtandaoni ingawa unaweza kuwa na lengo kutaka watu wanaokuzunguka wafahamu kuwa kipato chako kimeongezeka.
Bado siyo wazo nzuri. Kila...
Kustaafu hali ya mtu kujiondoa kwenye nafasi yake ya kazi au kutoka kwenye maisha ya kufanya kazi. Mtu anaweza pia kustaafu nusu kwa kupunguza masaa ya kazi au mzigo wa kazi. Kwa Tanzania umri...
Takribani wanawake 280,000 walifariki kwa saratani ya shingo ya kizazi mwaka 2005 katika nchi za kipato cha chini.
Saratani ya shingo ya kizazi husababishwa na Virusi vya HPV (Human...
Katika Makala hii tutaangazia watoto wanaoishi na Virusi Vya Ukimwi (VVU) kwa watoto walio katika umri wa kujitambua na kuweza kujihudumia na namna wazazi wanavyolichukulia suala hili katika...
Fikiria mara mbili kabla ya kuanika mtandaoni juu safari ya likizo inayokuja au kutuma picha wakati wa safari ya wikendi. Huwezi kujua ni nani anayeweza kuona habari hii na kuitumia kuvunja nyumba...
Safisha kwa kupaka Sanitaiza maeneo ambayo hushikwa mara kwa mara ili kujiepusha na magonjwa ya kuambukiza kama Korona.
Maeneo hayo ni pamoja na meza, vitasa vya mlango, swichi ya umeme...
Mfano ya wakati barakoa inahitajika kuvaliwa:
Unapotembelea duka, duka la dawa, Daktari au Hospitali yoyote
Katika mkusanyiko, unapokutana pamoja na marafiki au familia ambao hawaishi nawe...
Ndugu!
Utangulizi
Nimetafakari sana juu ya Siasa za Tanzania. Nimeangalia kwa upana siasa zetu za Sasa (za kileo). Nikatazama mustakabali wa huko tuendako. Kama tunataka mabadiliko basi...