Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Vipeleleze shutuma za rushwa kuhusiana na kesi za ndoa za utotoni, kama ushahidi utapatikana iwaadhibu maafisa wa utekelezaji wa Sheria wanaohusika.
Serikali ipanue Mahakama za Watoto, kama...
Irekebishe Sera ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ili ijumuishe kifungu ambacho kinaruhusu Wanafunzi waliojifungua kuendelea na elimu yao.
Irekebishe Kanuni Na. 4 ya Kanuni ya Elimu (Kufukuzwa Shule...
Pumu au ‘asthma’ ni moja kati ya magonjwa hatari sana yanayoathiri mfumo wa upumuaji ambao huathiri takriban watu million 130 duniani kote. Ingawa hakuna sababu ya moja kwa moja ya kupelekea...
Inakadiriwa kuwa takriban Watoto Milioni 15 wanazaliwa kabla ya Wakati kila mwaka Duniani kote
Watoto Milioni 1 waliozaliwa kabla ya Wakati au wakiwa na uzito wa chini hufariki Dunia kwa sababu...
Vaa barakoa mara kwa mara unapokuwa na watu wengine au unapokuwa kwenye mkusanyiko wa watu
Nawa mikono yako mara kwa mara kwa maji tiririka na sabuni
Epuka kusalimiana na watu kwa kushikana...
Mwekezaji anayetaka kununua
hisa atafuata taratibu zifuatazo:
a) Kuwasiliana na dalali wa soko la hisa na kumweleza kusudio lako la kununua hisa
b)Kujaza fomu maalum za kununua hisa na kulipia...
Mwekezaji anayetaka kuuza hisa atafuata taratibu zifuatazo:
Wasiliana na dalali wa soko la hisa na kumweleza kusudio lako la kuuza hisa
Kabidhi hati yako ya umiliki wa hisa kwa dalali. Dalali...
Vyombo vya habari huru humaanisha kuwa hakuna mtu anayepaswa kudhibiti na kushawishi utangazaji wake wa habari.
Hakuna mtu anayepaswa kuviambia vyombo vya habari ni nini kinachoweza kuingizwa na...
Viongozi wa dunia wameahidi kutokomeza ukeketaji ifikapo mwaka 2030, lakini wanaharakati wanasema utamaduni huo hatari na uliopitwa na wakati bado umekita mizizi katika maeneo mengi.
Tarehe 6...
Ukeketaji umejikita kwenye kanuni na taratibu za kijamii, imani za kiutamaduni na vichocheo vya kiuchumi.
Ukeketaji unaonekana kutumika kama njia ya kudhibiti ashki ya kujamiiana kwa wanawake, na...
Haki za watu wenye ulemavu: 45.-(1) Mtu mwenye ulemavu anastahiki, kuheshimiwa, kutambuliwa na kutendewa kwa namna ambayo haishushi utu wake
Kupata elimu kwa kutumia vifaa maalum na kushiriki...
Sera mpya ya faragha ya WhatsApp imesheheni maneno 8,000 ambayo yameandikwa wa lugha ya kisheria (ngumu kueleweka kwa mtu wa kawaida)
Sera imeeleza kuwa taarifa za watumiaji wa WhatsApp...
Mahitaji ya ardhi yameongezeka wakati wawekezaji wanatafuta maeneo ya kupanda chakula cha kuuza nje, au kukuza nishati ya mimea, au tu kupata faida.
Hii hupelekea unyakuaji wa ardhi kutoka kwa...
Toleo la awali ni mauzo ya hisa na dhamana kwa umma kwa mara ya kwanza kwa ajili ya kukusanya mtaji. Kwa lugha nyingine inajulikana kama IPO (Initial Public Offer) Mauzo hayo yana kipindi chenye...
Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) ni taasisi ya serikali iliyo chini ya Wizara ya Fedha na Uchumi iliyoanzishwa na Sheria ya Masoko ya Mitaji na Dhamana ya mwaka 1994 ili kusimamia na...
Kinywa kutoa harufu mbaya huweza kuwa kero kwako binafsi au kwa watu wanaokuzunguka.
Visababishi vya harufu mbaya kinywani ni kama vifuatavyo:-
Aina ya vyakula
Vyakula jamii ya vitunguu...
Ugonjwa wa Alzheimers ( Ugonjwa unaharibu kumbukumbu) ndio sababu kubwa ya shida ya akili. Kati ya 60% -80% ya watu walio na shida ya akili wana #Alzheimers
Magonjwa ya upungufu wa Neva na shida...
Kutelekeza watoto hufafanuliwa kama "aina ya unyanyasaji ambao unamaanisha kutompa mtoto huduma ya malezi inayohitajika na inayostahili kulingana na umri wa mtoto ingawaje kifedha mlezi au mzazi...
Uraghbishi ni falsafa yenye lengo la kuingia kwenye jamii kwa urahisi zaidi kwa kuamini kwamba jamii inafahamu zaidi matatizo yanayowakabili, sababu zake na jinsi ya kuweza kutatua matatizo yao...
Mabibi na mabwana kutofautiana kimawazo hakujawahi kuwa dhambi. Kutofautiana kwa mawazo ndiyo uthibitisho rasmi wa kuwa tu binadamu hai na timamu.
Kutofautiana kimawazo ni muhimu mno kwa...