Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Demokrasia ikitekelezwa ipasavyo husaidia kuleta faida zaidi kwa watu. Hii ni pamoja na:-
Kulinda maslahi ya raia.
Watu hupata nafasi ya kupiga kura juu ya maswala muhimu yanayoathiri nchi yao...
AZAKI zinatoa huduma mbali mbali katika jamii ambazo zinalenga kuboresha maisha na kulinda haki za Watanzania.
AZAKI zimekuwa sauti ya jamii na chachu ya mabadiliko ya kisera na mifumo mbali...
Asasi za kiraia ni mashirika yasiyokuwa ya kiserikali yanayofanya kazi kwa maslahi ya wananchi.
Kwa kiwango kikubwa asasi za kiraia zipo kwa ajili ya kukuza ustawi wa watu na maendeleo ya nchi...
Michango ya AZAKI 16 inayoingia kama fedha za kigeni ilikuwa ni Bilioni 236.
Kiwango hiki ni sawa na Kilo 2,181 za dhahabu zingesafirishwa kwenda nje, au Watalii 42,316 wakae nchini kwa wiki...
Kuhamasisha wananchi kushiriki katika miradi ya maendeleo kwa manufaa yao wenyewe
Kuwaleta watu pamoja ili kuzungumza kwa uwazi juu ya yanayowakabili
Kuwahamasisha watu kukemea tabia...
Kila mwananchi ana wajibu wa kushiriki katika kuzuia na kupambana na rushwa kwa kufanya yafuatayo;
Kutoa taarifa
Kila mwananchi ana jukumu la kutoa taarifa za vitendo vya rushwa kwa TAKUKURU...
Uhaba wa chakula ni hali ya kukosa ufikiaji wa uhakika wa chakula cha kutosha cha bei rahisi, chenye lishe.
Sababu za Uhaba wa Chakula
1. Kukosekana kwa Ardhi ya Kilimo
Chakula hupandwa au...
Je! Inaleta maana yoyote kwamba Bara lenye ardhi yenye rutuba, idadi kubwa ya vijana, madini adimu, na maji tosha; kuwa masikini zaidi ulimwenguni. Umasikini wetu ni ule wa kujichagulia, Afrika...
Sheria ya Utwaaji wa Ardhi ( Land Acquisition Act Cap. 118 R.E. 2002 katika kifungu chake cha 3 imempa nguvu na madaraka Rais ya kuchukua ardhi inayomilikiwa na mtu binafsi kwa ajili ya manufaa...
Unapoanza kuwa na hisia na mtu, kumbuka kwamba ikiwa hamjawahi kuonana ana kwa ana, hisia hizo sio halali. Kwa kuwa akili yako haina habari na taswira halisi kuhusu mtu huyo, kama ambavyo...
Hisa zikishatolewa na makampuni ya umma haziwezi kurudishwa mpaka kampuni itakapofilisika. Lakini hisa zinaweza kuhamishwa kutoka mmiliki mmoja kwenda kwa mmiliki mwingine.
Hivyo kama mtu...
Kwa mujibu wa kifungu namba 4 (1) ya Sheria ya Mtoto inaeleza Mtoto ni mtu yeyote aliye chini ya miaka kumi na nane (18)
Lakini Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971 katika kifungu cha 13 kinaruhusu Mtoto...
Kwa kuzingatia utawala bora vyombo vinavyohusika na kutoa haki kama vile mahakama, mabaraza yenye asili ya mahakama, kamati za nidhamu na vyombo vingine vinavyofanya kazi zenye asili ya...
Ushirika ni makubaliano ya watu wawili au zaidi ambao wanaweka pamoja Rasilimali pesa na watu ili kuanzisha biashara na kugawana faida.
Katika kuanzisha biashara ya ushirika ni muhimu kuwa na...
Uhuru wa Mahakama unamaanisha kuwa kila jaji au hakimu yuko huru kuamua kesi iliyopo mbele yake kwa mujibu wa sheria na ushahidi ulioletwa mbele yake, na katika kutekeleza
majukumu hayo, hapaswi...
Kutangaza biashara ni kitendo cha kuvuta umakini wa umma kwenye biashara kwa lengo la kuuza bidhaa au huduma kwa kutumia njia mbalimbali kama magazeti, mitandao ya kijamii na mbao za matangazo...
Vyombo vya habari mbali na kuakisi yanayotokea kwenye jamii. Pia inapaswa kuwa mshiriki mkuu wa shughuli za maendeleo katika jamii, kutengeneza mitazamo ya watu na kufanya ulaghabishi kwenye...
Hii ni dhana inayotolewa na ushahidi dhidi ya Nchi zenye Rasilimali na Maliasili nyingi kushindwa kuendelea kiuchumi ukilinganisha na nchi zisizokuwa na Rasilimali nyingi.
Dhana hii ya Laana ya...
Tatizo la kutopata ujauzito 'Ugumba' (Infertility) hili tatizo lipo kwa mwanaume na mwanamke. Ugumba ni kwamba watu wawili mke na mume wanatafuta mtoto kwa mwaka mzima bila mafanikio.
Sababu za...
Katika uongozi wowote ambao una utawala bora ndani yake ni lazima kuwepo na mambo yafuatayo;
Utawala unaozingatia sheria
Viongozi kuwa wawajibikaji kwa wanaowaongoza.
Viongozi kuwa wakweli na...