Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Swala la mimba za utotoni limekuwa ni jambo lenye utata kwenye jamii nyingi ndani nanje ya Afrika. Utafiti wa shirika la afya duniani (WHO) unaonyesha kwamba wasichana milioni 16 wenye umri kati...
Kwa mujibu Kanuni za Kudumu za Bunge Kifungu cha 30 (2) kinaeleza;
Endapo Mbunge atachaguliwa au kuteuliwa baada ya Uchaguzi Mkuu Spika atamuapisha katika:
b) Kikao chochote cha Bunge iwapo kuna...
Tunaweza kusema kuwa kuna uwajibikaji wa kidemokrasia katika utoaji huduma pale ambapo wananchi au wawakilishi wao wanahoji au kutoa mrejesho kuhusu huduma za umma halafu watendaji wa kisiasa na...
Ujasiriamali ni uwezo wa akili na ubunifu wa mtu kutambua fursa, kuiendea fursa, kuipangia mkakati fursa na hatimaye kuthubutu na kuiweka katika uhalisia yaani kuzalisha bidhaa yenyewe na mwisho...
Kodi ni malipo yanayotozwa na Serikali kwa wananchi, kampuni, au taasisi zilizopo ndani ya nchi au zilizopo nje ya nchi lakini zimesajiliwa ndani ya nchi. Lengo kubwa la kutoza kodi ni...
Je, una taarifa zozote za Rushwa?
Iwapo utakutana na tukio la Rushwa mwananchi una wajibu wa kuwasilisha taarifa za tukio hilo katika mamlaka inayohusika na kuzuia na kupambana na Rushwa...
Imeandikwa na: Jukwaa la Utu wa Mtoto - Children’s Dignity Forum (CDF)
Source: “Sikujua Nilipataje Mimba,” Utafiti Shirikishi kuhusu Mimba za Utotoni na kuwa Mama katika Umri mdogo uliofanywa...
Kifungu namba 7 (a): Baada ya kupata taarifa rasmi na uthibitisho wa Daktari kuhusu kifo cha kiongozi huyo
Rais atatangaza kifo cha kiongozi huyo kwa kutaja tarehe, muda na sababu ya kifo chake...
Utawala ni matumizi ya mamlaka ya kisiasa, kiuchumi au vinginevyo katika kusimamia masuala ya nchi kwenye ngazi zote.
Utawala bora ni matumizi ya mamlaka ambayo yanakuwa na uwazi...
Je, demokrasia ya Tanzania inakua au imedumaa? Ndilo swali analoliuliza mchambuzi wetu Anaclet Rwegayura katika Barua kutoka Dar.
Mikutano ya kampeni za uchaguzi inawapeleka Watanzania katika...
DALILI ZA HATARI KWA MTOTO NJITI
Dalili zifuatazo ni za hatari kwa mtoto njiti na zinahitaji kuchukua hatua mara moja. Kama mtoto yuko kwenye hospitali ambayo haina vifaa na wataalam basi mtoto...
Kila mwaka watoto takribani milioni 15 huzaliwa kabla ya miezi tisa yaani njiti na idadi hii imekuwa ikiongezeka siku hadi siku. Ni moja kati ya sababu inayochangia kwa wingi vifo vya watoto walio...
UPUNGUFU WA MADINI YA CHUMA KWA MTOTO
Madini ya chuma yaliyopo kwenye maziwa ya Mama hunyonywa vizuri zaidi yale kwenye vyanzo vingine. Vitamin C na kiasi kikubwa cha lactose kwenye maziwa mama...
Wakubaliana kupaza sauti kutoa elimu kwa umma kuhusu masuala yamhusuyo Mtoto Njiti hususani Changamoto wanazopitia Watoto na wazazi wao.
Pia, wanadhamiria kuielimisha Jamii kuhusu namna bora ya...
This is a brief analysis of the Electronic and Postal Communications (Online Content) Regulations, 2020 (hereinafter referred to as the “Regulations”). These Regulations were made under section...
Wanawake wenye ugonjwa wa kisukari wana uwezekano mara nne wa kujifungua watoto njiti na hivyo kutoweza kuishi kuliko wasio na ugonjwa huo , umebaini utafiti.
Watafiti kutoka chuo kikuu cha...
Kwa mujibu wa kifungu cha 77 cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343 na kifungu cha 78 cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292, pale ambapo kutakuwa na wagombea waliopata...
Ibara ya 5 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imempa haki kila raia aliyetimiza umri wa miaka kumi na minane kupiga kura.Kwa mujibu wa vifungu vya 13(1), 13 (2), 35C, 61 (3)(a) na...
Kwa mujibu wa kifungu cha 53 cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, ikiwa mpiga kura ambaye tayari amekwisha kupiga kura hajaridhishwa na mwenendo wa upigaji kura katika kituo cha kupigia...
Ibara ya 54 ya Sheria ya Taifa ya Uchaguzi Sura ya 343 inamruhusu mtu anayeshindwa kupiga kura kutokana na sababu za ulemavu au kutojua kusoma na kuandika
(a) Kumchagua mtu yeyote anayemwamini...