Wakuu
Nilipokuwa nasikia kuhusu hackers na case zao za kuvuta mpunga kwenye bank mbalimbali ilinivutia Sana nikatamani kufanya hacking my career.
Nikaanza kufuatilia nitaanzaje?
Niliambiwa...
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.
Karibu
Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.
Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo...
Rejea kichwa cha Habari Husika.
Mimi ni mdau wa muda mrefu wa Jamii Forums na pia Wa Miaka Lukuki wa MUSIC. kwa kweli nimekuwa na uzoefu wa Music miaka mingi nikiwa nimepata sikiliza music toka...
wakuu habar zenu?
Teknolojia ya eSim imetukomboa sisi ambao tunamiliki line zaidi ya moja za mitandao tofauti, hii teknolojia nimeipa maua yake aisee.
Zaman nilikua nahangaika na kubadilisha...
A HARD WAY TO BE 1337 HACKER..
Leo Nitashare mawazo yangu hapa au tuseme ushauri ambao nina uhakika utakwenda kukufungua mindset yako juu ya Tasnia hii changa hapa Tanzania yaani tasnia ya Cyber...
Wakubwa habari zenu, naomba mtu yeyote mwenye ujuzi na quickbook accounting software anisaidie hili swali,
Je inawezekana kutumia Quickbook desktop kweny cloud?
Kwanza kabisa tumeshuhudia Tzsh ikigain momentum over the last end of the last year, lakini maswali ya kujiuliza Je ni economic factors zilizofanya Tzsh kufika about 2300/= per 1$ au ni...
Huenda umeokota simu na hukunjua mwenyeww pia huenda umesahau password za simu yako na kutoweza kufanya chochote sasa ondoa BUREE pasipo kulipia gharama nyiiingi kuflash
Kwa shida na teknolojia...
Aisee nilikuwa naingia tu mtandaoni na generate vitu bila mpangilio. Sasa nina kaproject kangu binafasi ambako hakiwezi kutumia AI generators za mtandaoni, ikabidi nirun fooocus locally. Aisee...
Nimenunua simu hivi karibuni kutoka duka moja hapo kariakoo. Sim nimeitumia tokea mwezi wa kumi na moja tarehe 15 mwaka jana (2024). Mwaka huu mwezi wa kwanza kwenye tarehe kama 20 hivi simu...
#TeamPixel
Google wamezindua Pixel 8a, ambayo ni cheap version ya Google Pixel 8, ikiwa na Tensor G3 chipset.
Kimuonekano inafanana na Pixel 8 na 8 Pro. Ikiwa na kioo cha OLED cha 6.1 inch FHD...
Habari Wakuu,
Nimeshawishika sana kuichukua Google pixel 8 pro mpya kutokana na features zake, na Shughuli zangu nnazozifanya naona itanifaa sana,
Nahofia kitu kimoja, mwaka jana nlinunua Google...