Wakuu habari zenu!! Naomba kuwasilisha tatizo langu kwenu ili nipate msaada.Nimetengeneza blog inaitwa www.nasmiletz.Blogspot.Com sasa shida yangu ni jinsi ya kuapload audio,na kufanya playlist...
mimi nawashangaa sana
wengi wenu majieleza mnavyoweza kutengeneza website za watu,mbona hamtuwekei mlizotengeneza
wengi wenu mnakimbilia kwenye vya bure,blogspot,wordpress nk kwa nini
mfano ni...
hallo wananchi,ninapata shida kidogo juu ya kupata application za android hasa compatible kwa i-phone na samsung galaxy,kwa anayefahamu tafadhali anidondoshee hizo link hapa chini kama...
Hivi ninavyozungumza TBC wanarusha hewani mfumo wa kupiga kura kwa kompyuta nimefurahia sana mfumo huu, shida ni nani mmiliki wa site hii ambaye hatachakachua kura hebu cheki hapa:
TANZANIA...
guys,help me out..nina laptop hp 620 haicharg betri,lakin inaoparate ikiwa pluged kwa umeme..
Nimejarbu several options ikiwemo kutoa na kurudishia betri lakin tatzo laendelea.plz help me out
Wakuu nina modem yangu Huawei E1550 kwa bahati mbaya katoto kangu kadogo kaliitia mdomoni baada ya kukanyanganya niliifuta na nikaisubiri km masaaa 5 nilipoiweka kwenye computer ikagoma...
DEAR ALL.
I NEED YOUR HELP, MY FLASH DOE NOT DISPLAYed (can not read).
I CAN'T SEE IT IN MY COMPUTER, it is brand new i ddn't ever use before.
It is 4GB CEFC (MIC) D33193
For anyone with...
natumia Window XP,hiki kirusi naambia ni hatari sana.nimetafuta mbinu zote wapi?,kimekataza hata kufanya isntalation upya.hakuna programm inayo runnimekosoma...
Wakuu tangu Jmosi usiku internet ya Airtel inakuwa slow sana, muda mwingi speed inakuwa 0.00kb/s ingawa signal strength ianakuwa kubwa hadi 98%.
Hata mchana sometimes inakwamakwama. Tatizo hili ni...
Apples iPhones are always among the hottest gadgets of any holiday shopping season, but for one passenger on an Australian flight, the phone was too hot to handle literally.
While on...
Niliwahi kuongelea swala la free internet.
Kuna watu walinitumia PM kwamba zikiwa tayari niwastue
lakini nimefanya hivo naona wanazingua tu.
Kuna chip,ambayo ukiweka kwenye modem ya mtandao...
Kuna jamaa yangu mmoja anatumia modem ya tigo ambayo ina miezi kama mi3 hivi anatumia bure bila kulipia au kukatwa hata senti sasa naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia na mimi nika configure...
Naombeni msaada wenu wadau, hivi unaweza kupata internet service kwenye simu ya blackberry storm 2 kupitia mitandao ya hapa nchini? Naombeni msaada wenu Plz!!!!
Wakuu
Leo nimetembelea tovuti ya Tanzania Poice Force .
kwanza nilifurahia ule muonekano wake. Hatua ya pili nikasema ngoja nijaribu functionalities kahaa Nikaenda kwenye feedback. Hapo...
"Windows cannot start this hardware device because its configuration information (in the registry) is incomplete or damaged. To fix this problem you should uninstall and then reinstall the...
Jana niliona taarifa kwenye media mbalimbali kuwa DSTV Tanzania wameanzisha huduma mpya kwa watu wenye simu za 3G wanaotumia mtandao wa Vodacom kupata service ya DSTV mobile kwenye simu zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.