Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wanatech na geeks naomba msaada kwa hili.Nililetewa Maxtor 8OGB hard disk niicheck kama kweli ni 80GB na kuifanyia new windows Xp installation.Aliyeniletea HDD alikuwa ameuziwa na jamaa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Salaam, Ninahitaji software za Autodesk - Autocad na Invertor any version may be 2008, 2010 or 2011, nimepata shida ya computer yangu hivyo nimepoteza softwares zangu muhimu sana. Naombeni sana...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wataalam naomba msaada mara nyingi nakuwa na message nyingi sana kwenye simu yng kabla hata sijazisoma na wakwti mwingine ni muhimu kwa ajili ya reference baadae nawezaje kuzitunza kwenye chombo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kati ya simu hizi ipi inadumu na unaweza kufurahia huduma yake? Share your work. Share your fun. Start delegating. From The New York Times-recommended Personal...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu.Nimekuwa nikisikia na kusoma kuhusu simu za android au symbian.But kiukweli sizijui ni simu gani.Na tofauti zake,coz zinaniumiza xana kichwa.Mf nokia 3210 nk ni mfumo gani? Ahsanteni
0 Reactions
7 Replies
1K Views
habari zenu wakuu. Jama ni mda mreet najitahidi kujaribu kuedit some videos ambazo ninmerekodi either kwenye simu au digital camera ila nikijaribu kuedit through windows movie maker inasema...
0 Reactions
1 Replies
913 Views
Je unazijua njia za kujikinga na radi?je unaifahamu huduma ya kwanza kwa mtu aliyepigwa na radi(katika pigo la kwanza na la pili)?je unaimani yoyote inayokutatiza kuhusu radi na ungependa kujua...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Cousins, Nisaidie app hiyo niweze kuenjoy gmail kwenye hii simu bana; kwa sasa natumia lakini nazunguka kweli.............nimejaribu kuchecki na site yao sikupata msaada ; Any clue and how to...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kumekuwa na imani iliyojengeka na kuenea katika jamii kuwa, RADI ina uhusiano mkubwa na madini kwa maana ya kwamba, madini huvuta radi na kusababisha maeneo yenye madini kuwa na radi za mara kwa...
0 Reactions
24 Replies
10K Views
wapendwa!! Embu tuwe serious kidogo hapa... hatuwezi kupata namna ya kupata free internet...i have been reading, n still reading on how to get a free access to internet...Nigeria, South Africa...
0 Reactions
52 Replies
10K Views
wadau naombeni kujua sehemu na bei ya kupata laptop adaptor ya lg or kma kuna used poa or anaejua kuzirekebisha zilizoharibika
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Je ni kweli Lady Gaga amekutwa akiwa amefariki ndani ya hotel? Hiki ni kirusi (VIRUS) ambacho kimesambaa sana katika mtandao wa facebook na bado kinazidi kuenea kwa kasi.Kirusi hiki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni flash disk (G:) ya 4 GB. Files na folder chache zilizomo (saved documents) zinafunguka, nyingine nyingi hazifunguki. However, huwezi ku delete chochote, huwezi kuiformat, haipokei faili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Halo guys, am looking for local developed software for phamarcy management. thanks
0 Reactions
3 Replies
850 Views
Kwa wajuzi wa IT nuliza je kutumia simu kama modem(tethering) kwenye computer,je ukiweka bundle inaisha haraka au la ?najua ukitumia simu kama modem unapotumia muda wa kawaida huisha haraka kuliko...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari za jioni wadau, nokia c7 touch screen ikivunjika kioo inaweza kutengenezwa? Namaanisha kuweka kioo kipya?
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Machine: Mac OS X Version: 10.6.8 Processor: 3.06 GHz Intel Core 2 DUo Memory: 4GB 1067 MHz DDR3 Ninatumia Corel Draw katika machine niliyotaja hapo juu. Problem: Ninapotaka...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
There can be no doubt that the twentieth century is one of the most remarkable in human history for its previously unparalleled rate of technological advances and scientific discoveries, a rate...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni video format ipi ambayo huwezi kupeleka forward?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanatech na geeks naomba msaada kwa hili. Nililetewa Maxtor 8OGB ide Hard disk niihakikishe kama kweli ni 80GB maa aliyeuziwa alipofanya installation alipata partition ya 40GB tu!Nii-mount kwenye...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom