Habari.
Juzi kama wiki mbili zilizopita nilinunua simu ya OPPO a9 ,
Nimejikuta namba zangu mbili site zimefungiwa WhatsApp Kwa sasa nimejaribu kutumia tatu na zote zimefungiwa.
Naombeni...
๐ช๐ต๐ฎ๐๐๐ฎ๐ฝ ๐๐ฎ๐บ๐ฒ๐น๐ฒ๐๐ฎ ๐ณ๐ฒ๐ฎ๐๐๐ฟ๐ฒ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐ฎ๐ณ๐๐ถ๐ฟ๐ถ ๐๐ท๐๐บ๐ฏ๐ฒ ๐๐น๐ถ๐ผ๐๐๐บ๐ถ๐๐ฎ
Meta wako kwenye majaribio ya kuachia feature mpya ya kuweza kutafsiri ujumbe kwenye Whatsapp, itaweza kumruhusu mtumiaji wa Whatsapp...
ISS (international space station)
Ni jidubwasha kubwa sana linalobeba maabara ya watafiti wa anga, lakini life expectancy yake ndio hivyo inakaribia kuisha, linatakiwa liondolewe.
Na kikubwa cha...
Wana Jamvi, Habarini.
Nimekuwa nikijitahidi sana mwaka huu kutafuta fiber ya TTCL ofisini kwangu. Hii ni jambo ambalo nimehangaika nalo sana. Nimefika ofisi zao na wamesema niombeni mtandaoni...
Habari wana jukwaa letu pendwa ! Naombeni ushauri wenu wataalam wa teknolojia hasa upande wa smartphone, kwa maono yangu Samsung S21 Ultra Used kwa kias hki naweza ipata. Ushauri wako ni muhim je...
Habari wakuu,
Wiki chache nyuma nilikuja jukwaani kuomba msaada wa jinsi ku block users amabo wanapata access ya password,
Baada ya kuitumia Router ya Airtel kwa kipindi kirefu sasa imeanza...
Habari za asubuhi wadau, Naiman mko salama kabisa.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ,nimeamua kuuza hii kwa sababu ya ukata tu ila radio nzima. Hizi ni picha za hip radio...
Mambo vipi wadau nimekua na account ya email ya yahoo Kwa muda ila Kuna siku mwaka Jana nilitaka kulogin ikakataa kwamba password sio yenyewe nikajaribu kuforget password ili ni renew ikadai code...
๐๐ฎ๐ฝ๐ฎ๐ป ๐ถ๐บ๐ฒ๐๐ฒ๐ป๐ด๐ฒ๐ป๐ฒ๐๐ฎ ๐ฝ๐น๐ฎ๐๐๐ถ๐ธ๐ถ ๐๐ถ๐ป๐ฎ๐๐ผ ๐๐ฒ๐๐๐ธ๐ฎ ๐ธ๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ ๐บ๐ฎ๐ท๐ถ
Timu ya Kimataifa inayohusika na masuala ya utafiti inayoongozwa na mjapani anaitwa Takuzo imeunda aina mpya ya plastiki ambayo ni ya...
โ
Leo nazungumzia virus aina ya SHORTCUTS Hawa ni wasumbufu sana na ni hatari,
Wapoje?
Wanasambazajwe?
Madhara yake nini?
Tiba yake nini?
Tuende pamoja.
Virus hawa sijajua chanzo chake ila...
Wakubwa habari ya nyie, naaamini mko poa sana
Nikiwa katika harakati za kuombea mtu kazi huko Uhamiaji, nikakutana na hii post
Database Administrator (MSSMS, PostgreSQL and Oracle).
Kibongo...
Jamani mwenye working idea ya kumake money online aishushe hapo chini. Sio uweke zile za ata tukisearch google tunaziona. I mean working ideas, like una specify niche au product au service...
Kwa hali ya mabando jinsi ilivyo kwa sasa kuna shida kubwa kwenye kudownload mafaili, kufa kufaana mwanangu! penye shida mpya huwa pana mlango wa fursa mpya.
Ttcl hasa kwenye majiji wanatoa...
wakuu kwema nataka ninunue samsung note 20ultra used ila nikiwasha inaandika galaxy tu tofauti na samsung nilizozoea ukiwasha inaandika samsung na maandishi mengne mfano galaxy a20.
je hiyo ni...