Habari wana JF,
Naomba kufahamishwa vizuri kuhusu hii kozi ya Bachelor of science in information system inayotolewa UDOM pale CIVE Ina deal na vitu gani hasa?
Na je koding ipo sana kwenye hii...
Hakika Dunia na maajabu yake jamaa mmoja kutoka nchini ya Wales kwenye jiji la Pontypridd alifanikiwa kuipata simu yake aliyeipoteza miaka mingi ikiwa nzima kabisa
Unaweza ukazani ni Tangazo...
Hello naomba msaada kwa mwenye ufahamu Kuhusu Bulk sms. kama wanavyotuma hawa watu wa michezo ya kubahatisha hizo namba zetu wanazipata wapi, Mimi nahitaji kujua namna ya kupata hizo namba ili na...
Habari wadau mko njema kabisa Natumaini wazima kabisa,
Basi Sasa kama kichwa cha Uzi kinavyosema naomba kujua utaratibu upoje wa kupata kisimbusi kipya yani kinga'muzi cha Startimes upoje, maana...
The Power of Privacy: Less is More in the Digital Age
In an age where the average person shares over 1,500 pieces of personal data annually, have you considered the power of digital discretion...
Tunahitaji Tech Journalists wengi Tanzania.
Technojia inazidi kukua na hatuna watu wa kutosha kuelewesha jamii juu ya masuala ya Teknolojia. Elimu hii inahitajika sana.
Kama tulivyo na sports...
Nywila (Password) mara nyingi hulinganishwa na mswaki kwa sababu ya kufanana kwa jinsi inavyopaswa kushughulikiwa. Hapa kuna sababu:
1. Tumia Yako Mwenyewe
Kama vile mswaki, nywila ni ya...
Wakuu za jumapili.
Laptop yangu aina ya HP, Leo imezingua sjui nmebonyeza wapi, cursor haitembei ,imestuck.
Naombeni msaada please maana Nina kazi za kiofisi inabidi nizikamilishd
Za jioni wakuu,
Napenda kujifunza vitu vipya na kuanzia jumatatu ya wiki hii nimeanza kujifunza programming language ya python. IT sio fani yangu niliyosomea ila nataka nianze kutengeneza...
Wakuu kama ilivo ainishwa hapo juu,
MSAADA ninao hitaji nikwamba Jana KWENYE harakati za kwny 1 na 2 nmejikuta nimelifuta file la Xender kwenye simu yangu lakini Cha kushangaza sasa zile MIZIKI...
Wadau, hivi hii IMEKAAJE ...Nina google pixel, nikiweka status video mtu mwenye iphone kwake haifunguki,na hata ukimtumia video haifunguki kwake. Tupeane ujuzi
Habari Wakuu,
Kama ilivyo kwa simu za Google Pixel 4a na 4a 5G kuzima ghafla, pindi unapozipeleka kwa fundi jibu linakuwa kuwa "mashine imekufa." Niko na Google Pixel 4a 5G ambayo imezima ghafla...
Tajiri namba Moja ulimwenguni Elon Musk amefanikiwa kufungua duka lake la Online store la X kwa sasa duka Hilo linatoa bidhaa chache tu.
Anauza T-shirt nyeusi za unisex na kofia ya lori Kila...
Hello wanajukwaa natumai ni wazima wa afya!
Nachukua fursa hii kuomba wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja, utundu na yale yote yaliyomo ndani ya...
1..Hivi ni kwanini hamna mobile games kali ambalo limetengenezwa na Mtanzania zaidi ya stupid puzzle games ambayo hata hayaeleweki???
2.Kwanini hakuna app iliyotengenezwa na mtanzania ambayo hata...
Wataalam naombeni mnisaidie hii simu nimejaribu kuweka Data saver na hata kuinstall zile apps za kudetect dat zinapoenda lakini Bado inakunywa MB.
TikTok lite MB 100 zinaisha kama upepo wakati...
Wakuu kama thread inavojieleza either kulingana na uzoefu wako au umeskia ndugu jamaa wanasema tupate, mkombozi wa mapishi kwa umeme.
Induction cooker
Multi Cooker
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.