Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

𝗠𝗮𝗮𝗷𝗮𝗯𝘂 𝘆𝗮 𝗚𝗼𝗼𝗴𝗹𝗲 𝗽𝗶𝘅𝗲𝗹 Kama unatumia Google pixel nisikilize kwa makini sana 😊, kampuni ya Google kupitia simu zao za Google pixel Kuna feature Moja wameweka kwenye camera na watu wengi...
7 Reactions
20 Replies
617 Views
𝗠𝗮𝗮𝗷𝗮𝗯𝘂 𝘆𝗮 𝗚𝗼𝗼𝗴𝗹𝗲 𝗽𝗶𝘅𝗲𝗹 Kama unatumia Google pixel nisikilize kwa makini sana 😊, kampuni ya Google kupitia simu zao za Google pixel Kuna feature Moja wameweka kwenye camera na watu wengi...
0 Reactions
3 Replies
160 Views
Wakuu habari ,kama kichwa cha habari kinavyosomeka naombeni msaada wa jinsi ya kushare data mtandao wa voda
1 Reactions
2 Replies
367 Views
Wakuu, Kwanini kuweka video Mtandao wa X (Twitter) kunachukua muda mrefu hata kama ni ndogo?
0 Reactions
6 Replies
398 Views
Mkombozi wa mablogger bongo ni Adsterra, lakini hizi siku kadhaa kama haifanyi kazi inasumbua hivi au nikwangu tu wakuu? Ukiachana na adsterra nani mwingine ana cpm nzuri maana monetag duuh...
0 Reactions
3 Replies
192 Views
𝗦𝗮𝗺𝘀𝘂𝗻𝗴 𝘇𝗶𝗺𝗲𝗱𝘂𝗸𝘂𝗹𝗶𝘄𝗮 Watumiaji wa simu za Samsung Galaxy mifumo Yao imedukuliwa na kusababisha changamoto kwa watumiaji wake. Processor ya Samsung Exynos imedukuliwa na wadukuzi na kuweka code...
4 Reactions
3 Replies
382 Views
Teknolojia inazidi kushika kasi watumiaji wa window 11 na window 10 wamewekewa mfumo Rahisi wa kuweza kuingiliana kati ya simu na kompyuta na kuweza kutumika bila shida yoyote. Tunajua wengi...
7 Reactions
17 Replies
758 Views
Kama una mpango wa kudumu wa kupata dollar 100-200 kutwa kupitia app yako achana kabisa na google adsense[admob] wewe kiroho safi bila invalid wala pressure weka fb ads. Taratibu ndiyo mwendo...
8 Reactions
25 Replies
5K Views
Construction sites – contracts out and about today are synonymous with the deafening sound of machines and people buzzing around, the never-ending pressure to finish activities. But the truth of...
3 Reactions
2 Replies
465 Views
Mkombozi wa mablogger bongo ni Adsterra, lakini hizi siku kadhaa kama haifanyi kazi inasumbua hivi au nikwangu tu wakuu? Ukiachana na adsterra nani mwingine ana cpm nzuri maana monetag duuh...
0 Reactions
1 Replies
132 Views
Rasmi sasa WhatsApp waruhusu kuedit message uliyoituma kimakosa au bila kuwa na makosa lakini ungependa kuedit vitu kama vile emoji n.k Ni uamuzi mzuri japo utaleta hoja kuhusu encryption ya...
2 Reactions
29 Replies
749 Views
Wakuu naomba kujua App ya Microsoft kali kwa gharama nafuu. Kila kitu cha Microsoft office nachofanya kwenye PC nifanye kwenye Tablet Nimejaribu Microsoft 365 App inanigomea. Nadhani tablet...
1 Reactions
3 Replies
275 Views
Wakuu sio wote tunao weza ku afford kununua super brand zenye quality kubwa kama JBL, BOSE, ENKER, SONY, ORAIMO nk nk Hata hivyo madukani zimejaa Chinese Bluetooth speakers nyingi za kila aina...
15 Reactions
66 Replies
4K Views
Habari wadau humu jukwaaani, Kama pengine kuna member ana simu tajwa hapo juu maybe imekufa mashine au shida ingine. Mimi mdau mwenzake nina uhitaji wa kioo cha simu kama hiyo, kama yupo...
1 Reactions
12 Replies
557 Views
Habari za mda wadau wa jf. Ndugu zangu mwaka jana nilinunua laptop aina ya dell latitude 3410 hapa kipindi nainunua niliikuta ikiwa na setup ambayo inaiwezesha kuwasha kwa kukunjua tu ile screen...
0 Reactions
15 Replies
826 Views
TikTok itafungwa 2025 TikTok itakutana na rungu nchini marekani ifikapo January 2025 itakua mwisho kutumika nchini marekani. Ikiwa byte dance atashindwa kuuza hisa zake kwa wamarekani...
0 Reactions
3 Replies
274 Views
Teknolojia hii balaa Kutana na jamaa mmoja anaitwa Tomas Vega mwanzilishi na mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya Augmental, ameleta teknolojia mpya ambayo itaweza kuwasaidia wale watu wenye tatizo la...
0 Reactions
2 Replies
268 Views
Kama unapata shida Kufungua PM inaandika connecting ebu Fanya hivi Update crome yako au browser
0 Reactions
2 Replies
240 Views
Kampuni ya apple imesema itatoa Zawadi ya dola milioni moja kwa yeyote atakayeweza kudukua mfumo wao mpya wa seva za akili bandia (AI) kwenye apple intelligence. Kampuni hiyo iliweza kutangaza...
1 Reactions
12 Replies
421 Views
Habari wakuu,ninaomba msaada kwa wale wazoefu wa kuagiza vitu Aliexpress,nilinunua bidhaa tarehe 18/09/2024.Percel ikafka Dar es salaam Tanzania tarehe 28/09 mm nipo Mkoa wa Tabora nikajua...
1 Reactions
19 Replies
701 Views
Back
Top Bottom