Wasaalam Natumai Hamjambo Kabisa...!!
Wakuu nisaidieni jinsi ya ku connect DLS 2024 nataka kutembeza kichapo mahali halafu mtu nnaetaka kucheza nae yupo Marekani.
Mie nipo Tanzania msaada tafadhali
Wanajukwa habari za wakati huu ndugu jamaa na marafiki natumai nyote ni wazima waafya .Lengo kuu la kuandika uzi huu nikuwaombeni msaada wale wataalamu wa maswala ya Technology and science in...
Kuna hii platform ya kimtandao inayojihusisha na kutoa huduma za kifedha inaitwa SELCOM HUDUMA.
Hawana huduma kwa wateja nzuri, kubwa lililonileta kwenu miamala imekwama kwa muda wa wiki moja...
Hello
Napataje subtitle ‘English’ kwa baadhi ya channel mfano Colors International na Star Life kwa Azam Tv
Nimejaribu kila mbinu mpaka kifanya Factory reset lakini naambulia patupu 🥹🥹🥹
Tuko kwenye zama za kidijitali ambapo michezo ya video haipo tu kwa ajili ya kuburudisha. Zamani, ilikuwa kawaida kuona michezo ya video kama njia ya "kupoteza muda," lakini sasa, teknolojia...
Kwa wapenzi wa soka Weekend tukiwa hatuna mishe tunajifungia ndani tunaangalia mpira au tunasogea vibanda umiza kupata burudani,Mimi binafsi huwa naangalia mechi zote za jumamosi na jumapili,you...
habari zenu wana JF, hivi karibuni nimeshuhudia poromosheni kubwa ya simu za kampuni ya oppo hasa zile za A series , unakuta internal storage 128, RAM 6, Qualcomm and octa core processor , ambapo...
Taasisi ya Kitaifa ya Afya na Ubora wa Huduma (NICE) ya Uingereza imesema teknolojia ya Akili Mnemba (AI), itasaidia kuongeza Uhakika wa Majibu ya Vipimo vya X-Ray kwakuwa ina uwezo wa kuona...
Wakuu naomba kuuliza.
Je, ni kujaza wino kwenye printer hizi za kawaida za Tshs 400k-600k nitaprint kurasa ngapi Hadi wino kuisha na wino wa kuijaza printer unauzwa Tshs ngapi?
Kwema wakuu
KIla kitu kina mapungufu yake na mazuri yake hapa nataka kueleza mapungufu zaidi.
1.Haina real time kabisa mpaka u refresh ndo uweze kuona message na notifications.
2. Kwenye...
Wakuu mwenye uzoefu wa hizi vitu anijuze mfano ni battery ya Gari 12V capacity 45A.H Mwanzo niliunga na solar now tanesco wameleta umeme nahitaji kuunda back up system na hizo battery iwe ina...
Wana jamvi salama?
Leo nakuja na swali ambalo nimelifikiria muda mrefu, mzee wangu aliwahi kutumia huu umeme wa inverter ambapo unachaji kupitia umeme wa TANESCO na kuiwasha unapokatika au...
Katika dunia ya teknolojia ya hali ya juu, maroboti yanaweza kuwa na nafasi kubwa katika kutawala na kudhibiti nyanja mbalimbali za maisha ya wanadamu. Hata hivyo, iwapo teknolojia hii itakosa...
Wakuu,
Mimi ni mtu ninayependa sana technology na nimekuw nikifuatilia sana masuala ya technology. Kwa upande wangu sijasoma course yoyote officially ambayo iko related na masuala ya IT ila...
Habari wakuu,
Katika matumizi ya vifaa vya kieletroniki basi huwa kuna style tofauti za maandishi hutumika au huwekwa humo na watengeneza vifaa hivyo.
Ila kwa baadhi ya vifaa hivyo mfano simi za...
Hivi nikiwa nime-switch off TV namna hii na hicho kitaa chekundu kikawa kinawaka ina maana still TV inaendelea kutumia umeme na kumaliza luku yangu na ikikaa muda mrefu sana TV inaweza kuungua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.