E-SIM ni teknolojia inayomsaidia mtumiaji wa simu kwa na laini zaidi ya moja kwenye simu hata kama simu hiyo inakisehemu kimoja tu cha kuweka laini.
Vitu vya kuzingatia ili kuweza kupata huduma...
Wakuu kama kuna mtu anatumia Python anisaidie script ya code ambazo zinaweza kutengeneza namba na herufi ila kwa mfumo fulani;
Kwa mfano '6XWE217
' '6WTY54'
Mimi ndiyo...
Wakuu bila kupoteza muda, Nimeshangaa kuona jukwaa la tech hadi leo hii hakuna uzi special wa GCam au Google camera.
Haina ubishi, hii ndio app bora ya Camera kuwahi kutokea,ambayo imetengenezwa...
Wataalam wa IT nisaidieni nimefungiwa mita ya luku hii imefungwa juu ya paa la nyumba kwenye kinguzo cha nyaya ya umeme. Halafu mimi nikapewa rimoti ambayo natakiwa niingize token na ndipo...
Kwanza ni hatua kubwa sana tumepiga kwa kuwa na kiwanda cha kutengeneza ndege nchini. Tunapaswa kujipongeza. Kampuni ya Skyleader wanakiwanda cha kuunda ndege mjini Morogoro. Je ndege hizi...
kichwa cha habari kinajielezea labda kwa faida ya ambao hawajaelewa ni hivi..
Nawezaje ku access miziki ya simu yangu hata kama nikiwa mbali na simu yangu..?
Yaani hata kama simu ipo mbali...
Kwa wataalam sinu tajwa hapo juu siwezi ingia menu ya huduma mtandao husika mfano mpesa huduma za voda inaandika error na inakubali kuangalia salio pekee
Ndugu zangu nilijiunganisha na airtel 5g unlimited internet nikajua kwamba hawana limit ya volume kumbe unahesabiwa gb na GB zikiisha speed ya internet inapungua. Mimi nilitoka kuwa na speed ya...
Kwa wale wanaomiliki google play console.
Google play console ni account wanazomiliki watu wanaoweka apps zao playstore.
Kwa sasa kama una google play console ambayo ina zaidi ya mwaka mmoja tokea...
Title: "Artificial Intelligence Index Report 2024" by The AI Index Steering Committee, Institute for Human-Centered AI, Stanford University
Year of Publication: 2024
The Artificial Intelligence...
Habari wakuu, nimepata changamoto baada ya kuinstall whatsapp kutoka playstore. Na ni official application ila inaniandikia hivi.
Sasa wakuu naombeni msaada wenu. Na hata nikienda kwenye hiyo...
Kuna vile vi spy voice recorder vidogo vidogo unaweza ukakaweka ofisini kwa mtu au nyumbani kwa mtu ili unase anayoongea.Si kwa ubaya nauliza tu hapa dar naweza kuvipata sehemu gani?
Nna swali kidogo.
Kwa mwaka huu mfano 2024, ukawa una Million 1 tu ya kutumia kununua simu.
Ni bora kununua hizi simu za uwezo wa kati (mid-rangers) mfano Samsung Galaxy A55 mpya kabisa…au ni...
Jioni kuanzia saa 11 mpaka saa2 na nusu ukiwasha circuit breaker inazima kila baada ya dakika kadhaa, ila muda mwingine wote umeme hauzimi.
Wataalamu wa haya mambo naomba msaada.
Habari wakuu.
Napata shida kutumia simu aina ya Sony xz1. Kila nikitaka kununua kifurushi inatakiwa niwashe data. Hata kama nabonyeza menu ya M PESA (*150*00#)
JE NIFANYEJE?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.