Nilipitia uzi flani humu unaitwa "Teknolojia ya usb 2.0 imepitwa na wakati, wafanyabiashara wetu wametugeuza kuwa dampo la kupigia pesa, jitahidi ununue bidhaa za usb 3.0 na kuendelea"
Ndipo...
Kama tangazo linavyojieleza nataka lain ya Router Airtel ile yenye kifurushi cha 70k 10Mbps, router ninayo. Je kuna mtu anaweza akafanya ma nouver nisajili hiyo lain bila kununua router!
Wakuu msithubutu kufuatilizia wanaoelekeza kudial namba flan flan (code) kwa Mfano #33*0000# eti itakusaidia kufanya jambo flan kwenye simu yako.
Ushuhuda. Julie kabla ya eid Al adhaa niliangalia...
Wazee wa JF.
Nakumbuka 2014 September, Tim Cook alipanda stejini na kutangaza simu mpya mbili, iPhone 6 na iPhone 6 Plus.
iPhone 6 ilianzia $199 kwa 16 GB na 6 Plus ilianzia $299 kwa 16 GB...
Teknolojia hii ya utengenezaji wa screen za TV ilianzia zamani miaka ya 1950 lakini matumizi yake yameanza miaka ya 2010 kama zilivyo teknolojia nyingi ambazo huchukua miaka hadi kufanyiwa kazi...
Habari ndugu zangu..
Nahitaji kununua Flat Tv -32 inch .. ila naombeni ushauri wenu ni Tv ya kampuni gani ni nzuri kwa sasa kununua na ni vitu gani vya kuzingatia sana wakati na nunua . kwa...
Philips walitoa pasi kali sana durable ya rangi ya kijivu nyepeeesi ila sio mchezo kiutendaji. Haijawahi tokea pasi kali kama hii Tanzania. Uzi tayari.
Leo nimeamka katika pita pita zangu za kusoma na kupata vitu vipya katika maswala ya akili mmnemba nikagundua kwamba kupitia ChatGPT sasa unaweza kuongea nayo na ikakujibu kila aina ya swala...
Hii ni balaaaa [emoji91][emoji91][emoji91]
Call of duty modern warfare III Ni game mpya itakayoachiwa mwezi Septemba tarehe 10 mwaka huu, ni game inayojihusisha na upiganaji kwa mfumo wa mission...
Natafuta Software Ya Kuweza Kutrack Calls, sms,email Na Any Communicative Data Zinazoingia Kwenye Simu Ya Mtu Fulan. Nimeingia Play Store Na Kudowlod Kaadha Lakini Naona Ubabaishaji Tu
So...
Wakuu wa Tech inakuaje....!?
Wakuu na amini tunatofautiana uwezo kimapato wapo wanaomudu gharama za kulipia AC nikiwa nacheki Youtube review za AC nakuta kwa 24Hrs ngoma imebeba Units kama 20 hivi...
Ndugu wana bodi,
Niende moja kwa moja kwenye mada, siku ya ijumaa muda wa saa nane dakika ishirini za mchana nilipokea ujumbe kutoka airtel wakinishukuru kwa kutembelea duka lao huduma za kwa...
Ndugu zangu wapendwa husika na mada tajwa hapo juu. jana nimeibiwa spika ya soundba yangu. sasa najiuliza je dukani naweza nikaipata hii spika au ndo hivyo tena ?imepotea mpaka ninunue soundba...
As we approach 2025, we stand on the cusp of a transformative era in artificial intelligence. The emergence of AI agents promises to fundamentally alter our relationship with technology, evolving...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.