Hello bosses
Kwa hali ya sasa kumekua na wimbi la watu kukimbilia VPN ili kuaccess internet kwa wanaopata shida ya internet breakdown. Kutumia VPN kuna madhara yake ukiachana na slow speed kwa...
Tunafurahi kukualika uwe sehemu ya sherehe ya mwaka mmoja wa ukuaji wa SmartBusiness program ya usimamizi wa biashara ndogo na za kati (SMEs) kote Afrika.
Katika webinar hii, utapata kusikia moja...
Bitcoin mining is a complex but rewarding process that helps to secure the Bitcoin network and create new Bitcoins. While the cost of mining has increased in recent years, it can still be a...
Mwaka mmoja uliopita, nilianzisha program ya SmartBusiness kwa lengo moja kuu: kusaidia wafanyabiashara wadogo na wa kati (SMEs) barani Afrika kuboresha usimamizi biashara zao na kuwawezesha...
Habari za jion waheshimiwe Nina mpango wa kununua hii laptop aina ya Asus vivobook 15
Core i3 gen 10th
Nimeona inasifa nzuri na bajeti yangu inaendana Kuan mdau anaiuza Kwa 400K naona Iko powa...
Habari za Asubuhi wadau wa jukwaa hili ,ni kwamba nina uhitaji wa laptop kwa ajili ya kusomea kozi za OUT pamoja kutype document kadhaa na bajeti yangu ni 300K hadi 370K lakn katika kupita pita...
Habari za muda huu wanajamvi, naomba mwenye ufahamu mzuri na hawa jamaa wanajihita Digatal Regensys, wanajihusisha na digital online training especially upande wa data science and full stack...
Katika zama hizi za tehama ambapo uwezo wa kufikia maudhui kwa njia ya mtandao ni ya muhimu,Mifumo ya uhifadhi ufikiaji wa taarifa za wavuti ni mifumo muhimu sana.Mifumo hii huitwa Web...
Ni mwendelezo sasa mzuri sana Kwa CeX exchange au Centralized Exchange kama bybit kuwapa uhuru baadhi ya watumiaji wenye Imani zinazozingatia sharia fursa ya kuweza kutuma account zinazofuata...
Habari, External hard disk yangu niliichomeka kwenye TV moja hivi na kuitoa bila mpangilio, sasa kila nikiweka kwenye laptop inaandika Data Error Cyclic Redundancy Cheki. Au Sometimes inataka...
Yani roho inaniuma sana tangu wiki iliyopita napata shida ya kuingia mtandaoni bure dah!
Nilikuwa nimeshazoea mseleleko japo internet yenyewe ilikuwa mwendo wa Kobe lkn ilinisevu sana kuingia...
Wadau nilikuwa na smart TV 4 K nchi 50 wale wajaa laana wakasepa nayo.
Nina Samsung Hd nchi 32 ilikuwa chumbani ndio nimeileta sebuleni yani tofauti ni kubwa sana.
Sasa nimeokota pochi la...
Naomba kunisaidia kama kuna ntu anajua jinsi ya kusolve tatizo la internet kwenye simu mana natumia laini ya Tigo data inagoma kupanda, ila nkitumia wifi za watu inakubali
Nilianza kuagiza mizigo midogomidogo (small parcel ) miaka mitatu iliyopita na sijawahi kulipa kodi zaidi ya ile tsh 2350 ila mwaka huu nikapata shauku ya kuagiza mzigo kwa ajili ya biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.