Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Habari wana JF, Naomba kufahamishwa vizuri kuhusu hii kozi ya Bachelor of science in information system inayotolewa UDOM pale CIVE Ina deal na vitu gani hasa? Na je koding ipo sana kwenye hii...
0 Reactions
0 Replies
181 Views
Hakika Dunia na maajabu yake jamaa mmoja kutoka nchini ya Wales kwenye jiji la Pontypridd alifanikiwa kuipata simu yake aliyeipoteza miaka mingi ikiwa nzima kabisa Unaweza ukazani ni Tangazo...
2 Reactions
9 Replies
488 Views
Wakuu naomba experience yenu na hii brand, maana nisije nikajichanganya!
3 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, kama kichwa hapo juu naombeni link ambayo nitaweza kudownload hilo gemu likiwa moded.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hello naomba msaada kwa mwenye ufahamu Kuhusu Bulk sms. kama wanavyotuma hawa watu wa michezo ya kubahatisha hizo namba zetu wanazipata wapi, Mimi nahitaji kujua namna ya kupata hizo namba ili na...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari wadau mko njema kabisa Natumaini wazima kabisa, Basi Sasa kama kichwa cha Uzi kinavyosema naomba kujua utaratibu upoje wa kupata kisimbusi kipya yani kinga'muzi cha Startimes upoje, maana...
0 Reactions
4 Replies
293 Views
The Power of Privacy: Less is More in the Digital Age In an age where the average person shares over 1,500 pieces of personal data annually, have you considered the power of digital discretion...
0 Reactions
2 Replies
425 Views
Tunahitaji Tech Journalists wengi Tanzania. Technojia inazidi kukua na hatuna watu wa kutosha kuelewesha jamii juu ya masuala ya Teknolojia. Elimu hii inahitajika sana. Kama tulivyo na sports...
2 Reactions
9 Replies
268 Views
Nywila (Password) mara nyingi hulinganishwa na mswaki kwa sababu ya kufanana kwa jinsi inavyopaswa kushughulikiwa. Hapa kuna sababu: 1. Tumia Yako Mwenyewe Kama vile mswaki, nywila ni ya...
1 Reactions
7 Replies
563 Views
Nimejaribu kutafuta playstore badluck nilizokuta nazo zimeshindwa kurecover namba ambazo nilizofuta intentionally.
0 Reactions
9 Replies
527 Views
Wakuu za jumapili. Laptop yangu aina ya HP, Leo imezingua sjui nmebonyeza wapi, cursor haitembei ,imestuck. Naombeni msaada please maana Nina kazi za kiofisi inabidi nizikamilishd
1 Reactions
12 Replies
316 Views
Za jioni wakuu, Napenda kujifunza vitu vipya na kuanzia jumatatu ya wiki hii nimeanza kujifunza programming language ya python. IT sio fani yangu niliyosomea ila nataka nianze kutengeneza...
18 Reactions
155 Replies
22K Views
Wakuu kama ilivo ainishwa hapo juu, MSAADA ninao hitaji nikwamba Jana KWENYE harakati za kwny 1 na 2 nmejikuta nimelifuta file la Xender kwenye simu yangu lakini Cha kushangaza sasa zile MIZIKI...
0 Reactions
1 Replies
215 Views
Wadau, hivi hii IMEKAAJE ...Nina google pixel, nikiweka status video mtu mwenye iphone kwake haifunguki,na hata ukimtumia video haifunguki kwake. Tupeane ujuzi
2 Reactions
5 Replies
513 Views
Habari Wakuu, Kama ilivyo kwa simu za Google Pixel 4a na 4a 5G kuzima ghafla, pindi unapozipeleka kwa fundi jibu linakuwa kuwa "mashine imekufa." Niko na Google Pixel 4a 5G ambayo imezima ghafla...
7 Reactions
61 Replies
2K Views
Tajiri namba Moja ulimwenguni Elon Musk amefanikiwa kufungua duka lake la Online store la X kwa sasa duka Hilo linatoa bidhaa chache tu. Anauza T-shirt nyeusi za unisex na kofia ya lori Kila...
2 Reactions
1 Replies
259 Views
Hello wanajukwaa natumai ni wazima wa afya! Nachukua fursa hii kuomba wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja, utundu na yale yote yaliyomo ndani ya...
41 Reactions
7K Replies
765K Views
1..Hivi ni kwanini hamna mobile games kali ambalo limetengenezwa na Mtanzania zaidi ya stupid puzzle games ambayo hata hayaeleweki??? 2.Kwanini hakuna app iliyotengenezwa na mtanzania ambayo hata...
7 Reactions
55 Replies
2K Views
Wataalam naombeni mnisaidie hii simu nimejaribu kuweka Data saver na hata kuinstall zile apps za kudetect dat zinapoenda lakini Bado inakunywa MB. TikTok lite MB 100 zinaisha kama upepo wakati...
3 Reactions
15 Replies
502 Views
Wakuu kama thread inavojieleza either kulingana na uzoefu wako au umeskia ndugu jamaa wanasema tupate, mkombozi wa mapishi kwa umeme. Induction cooker Multi Cooker
3 Reactions
99 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…