Hello Guys, hope mko pouwa. Leo nimeamua niwaelekeze namna nyepesi ya kuficha SMS kwa wale wachepukaji ili usije kamatwa
Of course kuchepuka ni kubaya, lakini natambua kuna wanaochepuka kwa...
๐ ๐ฎ๐ท๐ถ๐๐ผ ๐ธ๐ฎ๐ท๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐๐ฝ๐ฒ๐ฎ๐ธ๐ฒ๐ฟ ๐๐ฎ๐ธ๐ฒ
Hatimaye mkurugenzi na muanzilishi wa media Efm na ETV nchini tanzania mfanyabiashara Majizzo amefanikiwa kupiga hatua kwa kuweza kuleta speaker zake nzuri ๐...
Hivi unajua unaweza kuwasiliana na mpenzi wako kupitia ndoto yani mmelala wawili lakini inawapa nguvu ya kufanya mazungumzo kwa njia ya ndoto kupitia usingizi.
Wana sayansi kutoka marekani kwenye...
Wakuu kwema
Mimi kama software developer nimeona mjadala mkubwa huku kuhusu programmer wa kibongo kuwa bongo hakuna ma programmer hichi sio kitu cha kweli bana wapo tena. Wengi ni wewe tuu...
Mko poa kwenye jamii kuna changamoto nyingi sana zinabidi ziwe sort out kwa njia ya tech maana now tech inakua saana.
Sasa hapa kuna watu wa aina 2 mwenye uwezo wa kutengeneza mifumo ila hana...
Wadau kuna jamaa yangu ni mwalimu wa taaluma shule 'Z' nimeenda kumtembelea kazini kwake nkamkuta anakomaa kuingiza alama za Continous Assessment (CA) za wanafunzi wake wa kidato cha nne wapatao...
Habari zenu wana JamiiForums,
Niende kwenye mada moja kwa moja, unajua nimekuwa nikijiuliza hivi ni kwanini walifungia window phone?
Nakumbuka kuna kipindi nipo shule kuna ndugu yangu mmoja...
ChatGPT Evolves: Real-Time Web Access Transforms AI Interaction
(Change default search engine to ChatGPT search - Official.)
Introduction
Remember those times when asking ChatGPT a question...
๐จ๐บ๐ฒ๐ถ๐ฏ๐ถ๐๐ฎ ๐๐ถ๐บ๐ ๐๐ฎ๐ธ๐ผ!!!
Je umepoteza au kuibiwa simu na unahitaji kulinda data (taarifa) zilizopo ndani ya simu yako. Kuna kitu kinaitwa remote lock unakijua ??
Najua wengi hawajui hii ni...
China Imefungua hospitali ya kwanza yenye kutumia Maroboti
Teknolojia ya Akili mnemba (AI) Inazidi kushika kasi ulimwenguni, sasa teknolojia hii imepelekwa kwenye sekta mbalimbali ikiwemo ya...
Salaam kwenu wote mnaopitia Uzi huu muda huu.
NAOMBA msaada ni vipi naweza kuinstall app kutoka google na websites zingine ukiachana na play store.
Maana nimejaribu Kila mbinu nimeishindwa Kila...
Kwa mara ya kwanza toka tanganyika na Zanzibar kuungana na kupatikana Tanzania Jana safari ya Kwanza ya treni ya umeme ya kisasa yenye kazi ya kusafirisha abiria ambayo inaitwa Electric multiple...
Baada ya JF kupotea kwa masaa 48 nilijikuta nikipita kwenye forum za wenzetu nikakutana na hii kutoka Nigeria nafikiri sio vibaya kushare na wenzangu:
The past two years I've had the chance to...
๐จ๐บ๐ฒ๐๐ฎ๐ต๐ฎ๐ ๐ฝ๐ฎ๐๐๐๐ผ๐ฟ๐ฑ ๐๐ฎ๐ธ๐ผ
Najua Kuna wakati unakuta umejiunga sehemu mbalimbali kwenye platform tofauti tofauti ukajikuta umesahau password zako ulizojiungia.
Kwaiyo ndo mpaka nifanye kazi ya...
Yaani taa zangu hata nikizima bado zinawaka kwa mbali
Huyo muingiza umeme alipokuwa anaweka umeme alisema fundi amekosea wiring ndio maana
Nimemuita huyo mpiga wiring mwenyewe anasema hakuna...
Habari ya muda huu wana jamvi la Jf?
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza ningependa kila mmoja aeleze ni Features gani zinamfanya apende smartphone kutokea kampuni hii,
Mimi kwa upande wangu...
Tusichoshane. Mimi ni mwalimu katika shule X hapa nchini.
Jana katika pilika pilika zangu za hapa na pale si nikajikuta nimevunja kioo cha kishikwambi changu nilichopewa na serikali ya chama cha...
๐๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐น๐ฎ ๐ฏ๐ฎ๐๐บ๐ฎ๐ป ๐น๐ถ๐ป๐ฎ๐๐๐๐ฎ
Wale wapenzi wa movie ya Batman Dark knight kama kweli mfuatiliaji wa movie za mtaalam christian Bale Kuna gari Yale aliyokuwa anatumia inaitwa Tumbler batmobile.
Unaweza...
Ukiona umecomment mara Moja harafu ukaona umeletewa maneno ya English harafu juu upande wako wa kulia Kuna x au mkasi ๐
We bonyeza pale kwenye mkasi hiyo comment itakuwa imeshajiplace usirudie...